Baadhi ya wana JF shule hawajaenda japo darasani wameingia

mjomba humu kila mtu la lwake utaumiza kichwa chako bure tu
 
Ni kweli kabisa kuna watu kazi yao sio kuchangia hoja upande chanya bali wao huchangia upande hasi, mfano unaweza kutoa post fulani inayohitaji ushauri au kueleweshwa wao wanaanza kukutusi na kukudharau kama vile hawafahamu nini maana ya mitandao ya kijamii, ubarikiwe mtoa mada na ushauri kwa ujumla [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa hiyo mleta mada ulitaka watu wote wafanane kitabia??
Hapo tu umefeli, usomi wako pia ni wa kuhoji! Watu wana njia tofauti za kuwasilisha hoja zao na mawazo yao, wewe kama msomi ulitakiwa kuwa mvumilivu nao na kuchukua ulichoona kinakufaa na kuacha kisichokufaa.
Kuleta uzi wa kuwafundisha watu wazima ktk jamii ambayo unajua wazi ina mseto wa watu wa aina tofauti ni mapungufu hayo.
Na JF ktk masharti yake haijasema ni ya "WASOMI" tu yaani walioenda darasani na kuelimika tu kama ulivyooweka.
Msomi wa kweli, naongelea an educated individual sio a literate individual anatakiwa akubali kuwa watu wana frame of reference zilizo tofauti.
Ila naheshimu mtazamo wako pia.
 
Kwahiyo Mkuu Hatuna Haja Ya Kuwasihi Na Kuwafundisha Watu Waache Hii Tabia Coz Tupo Tofauti?
 
Kwahiyo Mkuu Hatuna Haja Ya Kuwasihi Na Kuwafundisha Watu Waache Hii Tabia Coz Tupo Tofauti?
Na yeye akikufundisha kuwa kama yeye kuna tatizo? KAMWE, haitowezekana tukawa sawa. Tofauti tulizo nazo zilikusudiwa na Mungu.
Hivi vitu (HII TABIA, kama ulivyoiweka hapo juu) ni RELATIVE ila tunajaribu kuvifanya ABSOLUTE sababu ndo vinaonekana sahihi ktk jamii.
Hivyo waweza kuwafundisha ila tambua kuwa kamwe jamii haitoweza kuwa na mtazamo mmoja.
 
Sawa Mkuu Nakuelewa Sana Lakn Tambua Ya Kuwa Mafunzo Yapo Ili Kila Mmoja Achague Lake.
Hata Nyumba Za Ibada Tunaenda Kila Siku Na Kila Siku Tunapewa Neno So Ni Uamuzi Wetu Kubadilika Ama Kubaki Tulivyo Lakn Mafunzo Yapo Ta Tofauti Zipo.
 
Uko sawa mkuu,unapoona kitu hakipo sawa ni muhimu kuweka sawa. Kila mtu yupo huru kulingana na mtazamo wake, na kila mtu anautashi wa kuchagua kile kimfaacho...

Umetoa ushauri ni uamuzi wa kila mmojawetu kuukubali ama kukataa.
 
Nilikuwa namtafta flani,, mana hajui kukosoa kwa lugha yenye staha,, kasemwa hata simuoni na kila uzi yupo kasoro huu , kapita kmyakimya
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] We Mchokozi Wew Bana, Mi Simo Nilikuwa Najenga Hoja Tu Ila Kama Anatabia Hii Basi Aache Maana Si Vyema Hata Kidogo.
 
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] We Mchokozi Wew Bana, Mi Simo Nilikuwa Najenga Hoja Tu Ila Kama Anatabia Hii Basi Aache Maana Si Vyema Hata Kidogo.

Mbona lugha yako poa tu mkuu
,,kukosolewa si mbaya ila kuwe ktk namna ambayo nitatamani kuwa kama mkosoaji,, mtu anakukosoa hadi unawaza Huyu sijamuona ila anahitaji psychologist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…