Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Ila Kweli, zilizuka ID nyingi sana mpya, sijui ziko wapi sasahivi!Mkuu, hilo tatizo lilianza wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Kweli, zilizuka ID nyingi sana mpya, sijui ziko wapi sasahivi!Mkuu, hilo tatizo lilianza wakati wa kampeni kuelekea uchaguzi.
Waondoke Wawaache Wastaarabu Wenye Kujalia Hekima Na Busara Ktk Ndimi Zao.Ila Kweli, zilizuka ID nyingi sana mpya, sijui ziko wapi sasahivi!
mjomba humu kila mtu la lwake utaumiza kichwa chako bure tu"Kuingia darasani sio kwenda shule"
Falsafa hii inathibitika pale yule anayejiita msomi anaposhindwa kujitambua katika jamii wakati jamii inamtambua kama msomi.
Napenda kutoa pongezi kwa wana JF wote wanaojitambua na kutimiza wajibu wao kwa nafasi zao katika jamii ikiwemo kulitumia jukwaa hili vyema ipasavyo.
Chakushangaza mambo haya hufanywa na watu wanajiita wasomi na pia ni watu ambao hutegemea kuitwa viongozi katika jamii yetu.
Sheria za jukwaa zipo wazi kuhusu kuzuia matusi, kejeli ama kusanifu watu na mambo mengine kama hayo lakini watu tumekuwa wajinga japo tunajiita wasomi.
Jambo ambalo tunapaswa kulitambua ni kwamba,
"The threads u post identfy urself while ur comments determines ur thinking capacity.
Kutokana na wengi wetu kutumia majina feki tumejikuta tunafanya vitu ambavyo si vyema na kujikosea heshima lakini kutumia jina feki kwa kujificha ili kutusi, kukejeli, kudharau, kutapeli na mengineyo, hakuondoi uhalisia wako zaidi ya kujitia aibu moyoni mwako mwenyewe.
Nini tatzo la wengi wetu.
Wengi wetu huwa hatupost chochote lakini tunasubiri wengine wapost ili tuwatusi, tuwakosoe, tuwaite wajinga, matapeli, hawajasoma na mengineyo.
Sasa kama wewe si mjinga wala si tapeli na pia umesoma sana, mbona hatuoni post yako hata moja japo hatq mara moja tu kwa mwezi?
Matokeo yake unaishia kuona post za wengine za kijinga kwa kukoment matusi ama maneno ya dharau kwa wengine.
Nini tofauti zetu humu.
Tofauti kubwa chache na muhimu ambazo watu wachache tunazo na wengi wetu hatuna zipo katika mambo machache sana lakn muhimu.
Kujitambua,
Nidhamu
Hekima,
Busara,
Yote haya hayapatikani darasani bali hutokana na uzoefu wa maisha pamoja na hofu ya Mungu.
So kama mimi nawe hatuna mambo hayo tajwa hapo juu lakini tunaelimu kubwa na pesa nyingi, basi elimu na pesa zetu zinatusaidia tu kupata ugali na lakini jamii ilojaa welevu bado itatuona wajinga tusiye maana.
Nini tunakaribiana ama kulingana.
Ukiangalia kwa haraka, wengi wetu humu tunalingana ama kutofautiana kwa mstari mwembamba sana kama vile.
*Viwango vya elimu,(taaluma)
*Vipato vyetu,
*Makazi,
*Uelewa,
Yote hayo tunakaribiana, sasa inakuwaje umuone mwenzako mjiiinga eti kisa hukubalianinae?
*Wapo kwao wanaitwa wajinga hapa.
*Wapo ambao walishatelekeza familia zao kwa anasa.
*Wapo walochezea fursa kama vile tuwaonavyo baadhi ya PHD hoders wajinga.
Wapo ambao hukosoa wengine lakini maisha yao magumu.
Lakini tukikutana humu kia mmoja wetu anajifanya anajua kukosoa na kuwaona wengine wajinga badala ya kujifunza jambo na na kutoa mchango wenye tija jukwaani.
Nidhamu inamisingi mitatu.
1. Kujitambua.
2. Kusoma mazingira na alama za nyakati.
3. Kufuata maelekezo.
Ukikosa moja kati ya misingi hiyo ni lazima utakuwa mtovu wa nidhamu katika nyanja zote.
WanaJF, thibitisheni elimu zenu kwa kuzingatia misingi mi3 ya nidhamu ambayo itawapa faida ya kuwa waadifu katika jamii, pia msisahau kuwa na hofu ya Mungu ambayo itawapa faida ya hekima na busara ili tuisaidie jamii kwa elimu au pesa tulizonalo badala ya kuacha mambo muhimu na kuwatolea wengine matusi.
Si vyema kuudharirisha utu wako na nafasi yako kwa kuwatusi wengine, kumbuka kabla ya elimu ulonayo ulipewa akili so usiidharau na kuidharirisha akili yako kwa kigezo cha kuitanguliza elimu yako.Kama wewe ni mmoja wao na nimekukwaza basi pole maana ukweli ndiyo pekee husimama pekee bila support.
Lakn.Bora Kuongea Mjomba Kuliko Kukaa Kimya Mjomba.mjomba humu kila mtu la lwake utaumiza kichwa chako bure tu
Nimelipitia tena hili bandiko lako natamani lingeendelea kuwa validLakn.Bora Kuongea Mjomba Kuliko Kukaa Kimya Mjomba.
Ni Kweli Mkuu Kwa Watu Wanapost Huwa Hii Ni Shida Sana Kwao Mwingine Anakutusi Kutafita Kick [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimelipitia tena hili bandiko lako natamani lingeendelea kuwa valid
Kwahiyo Mkuu Hatuna Haja Ya Kuwasihi Na Kuwafundisha Watu Waache Hii Tabia Coz Tupo Tofauti?Kwa hiyo mleta mada ulitaka watu wote wafanane kitabia??
Hapo tu umefeli, usomi wako pia ni wa kuhoji! Watu wana njia tofauti za kuwasilisha hoja zao na mawazo yao, wewe kama msomi ulitakiwa kuwa mvumilivu nao na kuchukua ulichoona kinakufaa na kuacha kisichokufaa.
Kuleta uzi wa kuwafundisha watu wazima ktk jamii ambayo unajua wazi ina mseto wa watu wa aina tofauti ni mapungufu hayo.
Na JF ktk masharti yake haijasema ni ya "WASOMI" tu yaani walioenda darasani na kuelimika tu kama ulivyooweka.
Msomi wa kweli, naongelea an educated individual sio a literate individual anatakiwa akubali kuwa watu wana frame of reference zilizo tofauti.
Ila naheshimu mtazamo wako pia.
Na yeye akikufundisha kuwa kama yeye kuna tatizo? KAMWE, haitowezekana tukawa sawa. Tofauti tulizo nazo zilikusudiwa na Mungu.Kwahiyo Mkuu Hatuna Haja Ya Kuwasihi Na Kuwafundisha Watu Waache Hii Tabia Coz Tupo Tofauti?
Sawa Mkuu Nakuelewa Sana Lakn Tambua Ya Kuwa Mafunzo Yapo Ili Kila Mmoja Achague Lake.Na yeye akikufundisha kuwa kama yeye kuna tatizo? KAMWE, haitowezekana tukawa sawa. Tofauti tulizo nazo zilikusudiwa na Mungu.
Hivi vitu (HII TABIA, kama ulivyoiweka hapo juu) ni RELATIVE ila tunajaribu kuvifanya ABSOLUTE sababu ndo vinaonekana sahihi ktk jamii.
Hivyo waweza kuwafundisha ila tambua kuwa kamwe jamii haitoweza kuwa na mtazamo mmoja.
Uko sawa mkuu,unapoona kitu hakipo sawa ni muhimu kuweka sawa. Kila mtu yupo huru kulingana na mtazamo wake, na kila mtu anautashi wa kuchagua kile kimfaacho...Sawa Mkuu Nakuelewa Sana Lakn Tambua Ya Kuwa Mafunzo Yapo Ili Kila Mmoja Achague Lake.
Hata Nyumba Za Ibada Tunaenda Kila Siku Na Kila Siku Tunapewa Neno So Ni Uamuzi Wetu Kubadilika Ama Kubaki Tulivyo Lakn Mafunzo Yapo Ta Tofauti Zipo.
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] We Mchokozi Wew Bana, Mi Simo Nilikuwa Najenga Hoja Tu Ila Kama Anatabia Hii Basi Aache Maana Si Vyema Hata Kidogo.Nilikuwa namtafta flani,, mana hajui kukosoa kwa lugha yenye staha,, kasemwa hata simuoni na kila uzi yupo kasoro huu , kapita kmyakimya
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] We Mchokozi Wew Bana, Mi Simo Nilikuwa Najenga Hoja Tu Ila Kama Anatabia Hii Basi Aache Maana Si Vyema Hata Kidogo.
Unahitaji Tsh?Ni kweli hatujaenda shule kwani ww unatusaidia nn, basi tupe pesa tuende shule
Ipotezee hiyoUnahitaji Tsh?