Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

Baadhi ya Wanachama wa JF acheni tabia hii

Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
Athumani, hao wanaupandisha uzi wako juu usomwe na watu wengi.
Wasipokoment uzi unapotea
 
Back
Top Bottom