Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Oct 6, 2023 #21 MamaSamia2025 said: Una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku hapo kwa mume wa dada yako? Click to expand... ππππππππ
MamaSamia2025 said: Una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku hapo kwa mume wa dada yako? Click to expand... ππππππππ
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Oct 6, 2023 #22 Hivi hizo score na points zinaleta sh ngapi?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Oct 6, 2023 #23 Athuman Mintangah said: Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII Click to expand... Athumani, hao wanaupandisha uzi wako juu usomwe na watu wengi. Wasipokoment uzi unapotea
Athuman Mintangah said: Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII Click to expand... Athumani, hao wanaupandisha uzi wako juu usomwe na watu wengi. Wasipokoment uzi unapotea