Baadhi ya wanachama wa MMU mmezidi kutunga stori za uongo, mnaharibu sifa ya jukwaa

Baadhi ya wanachama wa MMU mmezidi kutunga stori za uongo, mnaharibu sifa ya jukwaa

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
Salaam wakuu,

Hivi mnaofanya hivyo mnapata faida gani kwa kutunga stori za uongo uongo? Mara umeachana na mke kisa kakunyima kipochi manyoya na wengine sijui mmemkula mama mkwe! Acheni hizoo bhanaa.

Tuwataje kwa majina watunga stories za uongo wote.

Mimi naanza na puppa
 
Tatazo hakuna ushahid inabid tuamin tu maandiko yao
 
Waache watunge tu, serikal yenyewe inaangalia kila kitu humu, wacha na wao wasome uongo
 
Back
Top Bottom