Baadhi ya wanachama wa MMU mmezidi kutunga stori za uongo, mnaharibu sifa ya jukwaa

Salaam wakuu,

Hivi mnaofanya hivyo mnapata faida gani kwa kutunga stori za uongo uongo? Mara umeachana na mke kisa kakunyima kipochi manyoya na wengine sijui mmemkula mama mkwe! Acheni hizoo bhanaa.

Tuwataje kwa majina watunga stories za uongo wote.

Mimi naanza na puppa
Cchai
 
Ukiona hivyo mtu ana tatizo la ugonjwa wa akili awahi mirembe

Badala ya kutumia kichwa kupanga mipango ya kupata pesa anatunga vitu hewa vinavyomaliza Mb za memory card ya kivhwa chake kwa vitu vya uchi tu
 
Back
Top Bottom