Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Jina la Mboro sio matusi kwa Wachaga bali ni ukoo tena mkubwa sana. Mbona wahindi wana majina kama ****, na Wajapani ndio zaidi kwani wanaye **** Moto. Jina linakuwa najisi kwako weye mwenye mawazo najisi

Sawa nimekuelewa ila sentensi hiyo ya mwisho ya najisi ndio nimeshindwa kuelewa una maana gani
 
Sawa nimekuelewa ila sentensi hiyo ya mwisho ya najisi ndio nimeshindwa kuelewa una maana gani
Ninamaanisha kwamba, matamshi ya kwenu kwa wengine ni matusi makuubwa sana. Sasa ukisikia wenzako wakitamka ukachukulia matusi mabaya huoni utateseka sana?? Usikimbilie mabaya tu ona kuwa na mengine ni mema
 
Wachagga wangekuwa hawana ufahamu wa lugha ya kiswahili basi hilo jina Mboro lisingekuwa na ukakasi wowote.

Unapoongelea wajapan pamoja na wahindi wao hawana ufahamu wa kiswahili hivyo hayo majina hayana shida kwao
Mchaga gani ana ufahamu wa kiswahili? Mbona hawatumii majina mabaya kama wangelikuwa hawana ufahamu? Kule Congo drc tunakuta Mvua wao huita mbula kwa nini mchaga asimwite mtoto jina hilo?
 
Sema huo ukoo wa Matamko ni wengi sana😀😀😀
 
Dahhh ni hapahapa Tanzania?majina kama yakizulu...
Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98% Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama Qatar.
 
Hii ni editing imefanyika hakuna mtu anaweza andika majina ya kipuuzi hivyo. Hata ukienda wizarani watakukataa
 
Inategemea umri wa jina na umri wa mtu na umr na umri wa maana ya hilo jina

Mf
Tigo -mtandao wa simu
Tigo-kinyume na maumbile

Nimejisemeaaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…