Jina la Mboro sio matusi kwa Wachaga bali ni ukoo tena mkubwa sana. Mbona wahindi wana majina kama ****, na Wajapani ndio zaidi kwani wanaye **** Moto. Jina linakuwa najisi kwako weye mwenye mawazo najisiInfantry Soldier, Duu sijawahi kusikia mswahili anaitwa majina haya
Nimeona mkuu