Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Baadhi ya wanafunzi kutumia "Surnames" za makabila zisizo na staha ya Kiswahili haitaleta ukakasi wakija kuwa viongozi wa umma??

Majina ya kijapani mazuri sana, HYOGO, AICHI, TOYOPET, YOKOHAMA.
 
Imagine mwamba kafanya tukio lakishujaa kalivusha taifa taifa linatembea kifua mbele "bila matak.o tusingefika hapa"
 
Afu ilivyo maajabu huyo mwenye jina la ukoo matako,unaweza kuta kwel anazigo la adabu yaan ni full kutetema
 
Nimesoma Oops!! Hayo Majina Ya Koi Yamechangamka Mno Mpaka Yamepitiliza!! Haikubaliki!!
Sisi Tutakuja Hoja Bunge Hili Maana Tupo Sisi Tu
 
Back
Top Bottom