MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.
Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23, lakini wakashindwa na kupepeza bendela nyeupe.
Wanajeshi 194, ndo waliopita mpakani hapo. 129, wakiwa wa South Africa; 40 wakiwa wa Malawi, na 25 wa Tanzania.
Wengi wa Afrika kusini wakiwa majeruhi, huku 5 hali zao zikiwa mbaya.
Kutoka mpakani mpaka Kigali, wamesindikizwa na jeshi la Rwanda.