Baadhi ya wanajeshi wa SADC warudishwa nchi wanazotokea, kupitia Rwanda

Baadhi ya wanajeshi wa SADC warudishwa nchi wanazotokea, kupitia Rwanda

Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.

Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23, lakini wakashindwa na kupepeza bendela nyeupe.

Wanajeshi 194, ndo waliopita mpakani hapo. 129, wakiwa wa South Africa; 40 wakiwa wa Malawi, na 25 wa Tanzania.

Wengi wa Afrika kusini wakiwa majeruhi, huku 5 hali zao zikiwa mbaya.

Kutoka mpakani mpaka Kigali, wamesindikizwa na jeshi la Rwanda.
Endelea kuomba nisiwe rais,ila nikiwa rais,nyie M23 nitawageuza nyama choma wapuuzi nyinyi.
 
Nchi Kama congo wanajisaliti wenyewe ndiyo maana hata Malaya wa m23 wanajiona wanaweza vita. Lakini wanajua kwa nchi ambayo wananidhamu na kujiwa nini maana ya kuwa pamoja na nchi yao Kama Tanzania. Hakuna Malaya yeyotewa m23 anaweza kusogeza pua yake.
 
Back
Top Bottom