MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
1. Kazi iliyowapeleka iliwashindaKwa nini wanaondoa wanajeshi wa SADC??
Wewe ndiye msemaji wa M23 humu JF?...Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.
Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23, lakini wakashindwa na kupepeza bendela nyeupe.
Wanajeshi 194, ndo waliopita mpakani hapo. 129, wakiwa wa South Africa; 40 wakiwa wa Malawi, na 25 wa Tanzania.
Wengi wa Afrika kusini wakiwa majeruhi, huku 5 hali zao zikiwa mbaya.
Kutoka mpakani mpaka Kigali, wamesindikizwa na jeshi la Rwanda.
Vikwazo ulivyowekewa na Marekani vimeliathiri vipi kundi lenu?Ndio.
Una la ziada?
Kwa nini tanzania watoke wote na hakuna majeruhi?1. Kazi iliyowapeleka iliwashinda
2. Kumbuka, hawa wote ni mateka wa M23.
3. Wanafika 1000 wote. Waliotangulizwa ni majeruhi na wailowasindikiza. Wengine bado wapo chini ya uangalizi wa M23
4. Wanawake 2 kutoka South Africa, walipata ajali baada ya matumizi mabaya ya sehemu zao za siri.
5. Inasemekana Tanzania, wote wametoka.
Nyie wavamizi na wahalifu wa kivita mmeshaua wa Congomani 7000 toka muanzishe vita vya kuteka miji.Ndio.
Una la ziada?
😂😂😂😂 unamaana Mimba?!4. Wanawake 2 kutoka South Africa, walipata ajali baada ya matumizi mabaya ya sehemu zao za siri.
Kwa sababu idadi haikuwa kubwa,pengine na majukumu hayakuwaweka kwenye target ya M23.Kwa nini tanzania watoke wote na hakuna majeruhi?
Ndo maana yake. Eti vijana wa M23 waliwagegeda na kuwabebesha mimba😂😂😂😂 unamaana Mimba?!
Ndio, wameuliwa. Kwa hiyo?Nyie wavamizi na wahalifu wa kivita mmeshaua wa Congomani 7000 toka muanzishe vita vya kuteka miji.
ICC inasubiri.....mtaungana na Bosco Ntaganda baada ya muda mfupoNdio, wameuliwa. Kwa hiyo?
ICC inamsubiri nani!?ICC inasubiri.....mtaungana na Bosco Ntaganda baada ya muda mfupo
Nyie wauaji wa M23ICC inamsubiri nani!?
Basi leta Scania utupeleke huko. Na vipi kuhusu wewe mu FDLR? Vidonda bado vinauma!! PoleNyie wauaji wa M23
FDLR ni 'myth' tu kwa Sasa.....Basi leta Scania utupeleke huko. Na vipi kuhusu wewe mu FDLR? Vidonda bado vinauma!! Pole
Ndo hawaondoki sasaFDLR ni 'myth' tu kwa Sasa.....
Hicho kisingizio chenu Dunia imeshakishtukia.
Ondoeni hao RDF ndani ya Congo, raia waishi kwa amani.
Tunashukuru kwa taarifaMida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.
Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23, lakini wakashindwa na kupepeza bendela nyeupe.
Wanajeshi 194, ndo waliopita mpakani hapo. 129, wakiwa wa South Africa; 40 wakiwa wa Malawi, na 25 wa Tanzania.
Wengi wa Afrika kusini wakiwa majeruhi, huku 5 hali zao zikiwa mbaya.
Kutoka mpakani mpaka Kigali, wamesindikizwa na jeshi la Rwanda.
Hizo Propaganda.Ndo maana yake. Eti vijana wa M23 waliwagegeda na kuwabebesha mimba