Pamoja mwanangu...Daaah mwanangu huwa unanifurahisha sanaππππππ
Yap mkuu hili tenge la maana sana,ngoja nikuletee na wewe uenjoy mkuuYani hyo ina shinee mnoo na ...na ww ukivaa na hiii
View attachment 3054665
Kazi kweli kweli Unanunua jezi na ku edit.Baadhi ya Mashabiki wa Simba wameondoa neno SANDA ambalo lipo kwenye jezi mpya ambayo imetambulishwa kuwa jezi ya msimu wa 2024/25.
Unadhani ni sahihi kufanya hivyo?View attachment 3054590
AahΓ Γ aaaNi sahihi, wamenunua Jezi kwa pesa yao.
Neno SANDA kwa maadili ya Kitanzania Lina ukakasi sana.
Kwani hizo sabuni ni za tajir?WANA LUNYASI NI MUDA WA KULUNYASIKA ππ
View attachment 3054662
Mie nimependa lile tenge la Yanga. Chini unaongezea pisi moja ya tenge linalifanana unalisongeshaπKazi kweli kweli Unanunua jezi na ku edit.
Ni kosa kisheria kuondoa alama kwenye bidhaa bila ridhaa ya mtengenezaji.Baadhi ya Mashabiki wa Simba wameondoa neno SANDA ambalo lipo kwenye jezi mpya ambayo imetambulishwa kuwa jezi ya msimu wa 2024/25.
Unadhani ni sahihi kufanya hivyo?View attachment 3054590
Kwani moto itakuwa gumzo?Kwanini mbumbumbu mlipe tafsiri neno kwa matakwa yenu na sio kwa lugha ya alieweka hilo neno?
Ni sawa na ile timu inaitwa kumamoto iamue kufupisha jina lake halafu kibongo iwe gumzo.
Ni mwendo wa vitasaWANA LUNYASI NI MUDA WA KULUNYASIKA [emoji23][emoji23]
View attachment 3054662