Baadhi ya wanasimba wameondoa neno SANDA kwenye jezi zao

Baadhi ya wanasimba wameondoa neno SANDA kwenye jezi zao

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baadhi ya Mashabiki wa Simba wameondoa neno SANDA ambalo lipo kwenye jezi mpya ambayo imetambulishwa kuwa jezi ya msimu wa 2024/25.

Unadhani ni sahihi kufanya hivyo?
1722134498757.jpg
 
Back
Top Bottom