Baadhi ya wanasimba wameondoa neno SANDA kwenye jezi zao

Baadhi ya wanasimba wameondoa neno SANDA kwenye jezi zao

Waache kusikiliza maneno ya watu, kwani neno SANDA lina shida gani? Kwani ni Sanda kweli? Si ni jezi tu?
 
Tukubali tu mtengenezaji ameboronga kama lengo lilikuwa ni kuweka lebo yake angeandika tu Sandaland basi ina maana yeye hakujua hilo neno linaleta ukakasi! Litakuwa jitu la Yanga tu na hiyo ndiyo shida ya kuokoteza watu ili mradi mtu apate cha juu.
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    6.3 KB · Views: 2
Lkn huo sio uzalendo Kwa timu
Unapo chagua jina la Nembo yako lazima uangalie athari za Hilo Neno kwa jamii inayo kuzunguka.
Binafsi siwezi kuvaa jezi yenye jina la SANDA.
Nitakapo inunua jezi ya Simba nitaliondoa hilo jina linalo taja nguo ya kifo.
 
Ni kosa kisheria kuondoa alama kwenye bidhaa bila ridhaa ya mtengenezaji.
Ni kosa pia kutozingatia matakwa ya mnunuzi wa bidhaa.

Mimi nataka kuvaa jezi ya timu yangu na sijaingia mkataba wowote na mtengeneza jezi.

Waache wachezaji wa mpira waitangaze hiyo Nembo isiyo na maadili.
 
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom