Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Wanapenda sana uongo, ukweli hawapendi kabsaaunataka waanzaje ? huwezi jua huenda ana nia ya kukuoa kweli moyo wa mtu ni kichaka kinene. mkidanganywa mnakubali mkiambiwa ukweli mnakataa...........................π΅π΅π΅π΅
Sjikuelewa, anataka mfunge ndoa au anataka mwende faragha au anakuomba umkubalie mwanze mchakato wa kuoana?Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
wanawake hawa shida sana mtu akisema uongo wakubali baada ya siku anajifungia chumbani kulia aliyesema ukweli you snubed him unamuona anapeta somewhere unamtamani tena.duhπ΅π΅π΅π΅π΅Wanapenda sana uongo, ukweli hawapendi kabsaa
Hhaa. Jamaaa anatka kula mzigo kwa gia ya kuoa,.!!Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Hahahahwanawake hawa shida sana mtu akisema uongo wakubali baada ya siku anajifungia chumbani kulia aliyesema ukweli you snubed him unamuona anapeta somewhere unamtamani tena.duhπ΅π΅π΅π΅π΅
Hao ndio wanaume wa shoka dada yangu, mambo ya Ku buy time wakati papuchi zimejaa mjini hapa tupa kuleMwingne siku hyo hyo mmekutana..siku hiyo hiyo anataka ngono...sijui wamekuaje.tena anakuambia ulidhan tutaonana tule tuangaliane siku nzima..kyaaa wanaboa saba.ila tutawachukulia kama walivyo na kuwasamehe
Naona umezoea kugegedwa@Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii