Baadhi ya wanaume hawajui kutongozaa

Baadhi ya wanaume hawajui kutongozaa

unataka waanzaje ? huwezi jua huenda ana nia ya kukuoa kweli moyo wa mtu ni kichaka kinene. mkidanganywa mnakubali mkiambiwa ukweli mnakataa...........................😵😵😵😵
Ni ajabu...hawa viumbe ni ngumu kujua hasa wanachokitaka,wakiambiwa ukweli wanadharau wakitumika na kutupwa wanalalamika.
 
Mapenzi ya kubembelezana kama Wahindi yalishapitwa na wakati, unaomba mzigo leo kama uko poa unakazwa leo leo na kama hutaki unasepa tu kiroho safi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Siku hiyo hiyo!! Watu wanaelewana saa hiyi hiyo wee unaongelea siku!
Yaani unakutana na mdada kwenye siti ya daladala kwa dar kutoka Gombs kwenda ubungo, mkifika ubungo mmafikia gesti, sehemu ya mazungumzo imeisha sasa vitendo.
 
Nisumbue sumbue usinikubali haraka nitakuchezea
 
Wanawake wanapenda sana mwanaume mwenye swaga za uongo. Wanaridhika sana wanapodanganywa. Ukitaka kujua inamaana mpk karne hii wao bado wanadanganywa tu na wanaume? Kwanini wasing'amue? Wanajua kabisa braza fulani ni tapeli lakini huyo braza anawawala tu bila jasho wala hawashtuki.
 
Siku hizi hakuna cha kutongozana, unaomba namba ya simu akikupa namba ya simu jukumu lako ni kusimamia mchakato wa kumualika machinjioni iwe gheto au hotelini.
Ukimtajia ndoa kabla ya kukaza utakuta chupi imeloa
 
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii

!
!
Ungekutana na mimi ungejibu swali langu maarufu mno lisemalo "bei gani?", huku nikikushindilia mbili za ushindi.
 
tena wale wagumu kukubali na wanaosumbua unakula mzigo unasepa "hits&run" ndo dawa yao labda nikupende
 
Dada, Hivi kweli, na urembo wako woote huo weye waona aliyekuja na uwazi woote huo wamwona kuwa domo zege! Wanawake muko muko aje?? Unataka kiswahili mureeefu ka barabara kumbe mwisho wa yote ni neno moja tu. Nata Harusi. Si umemuelewa? Mupe majibu; Bado muda kidogo, Naomba kufikiria, au HAPANA.
Akikimbia, waeza uliza yeye; we ulitaka jibu ipi? Ndo ujue ajua kumwanga lazi au ni domo zege. Usisoweee iko watu najua maneno mingi ka njugu ila inakatisa njia tu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii

Hataki uzinzi huyo, tatizo mademu wa siku hizi mmezoea "shake b4 use" mkiambiwa ndoa unaona mtu domo zege, acha tuendelee kuwazalisha nyumbani kwa madingi zenu naona mshazoea [emoji4][emoji4]
 
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Vipi kuhusu huko PM, mimi nipe status ya huko PM, hiyo ndiyo kiu yangu tu basi!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mabinti wengi ndoto zao ni kuolewa ndio maana wanaume wasiojua kutongoza wanakuja Na gia hiyo.!
 
Dah,,, siku hizi ukiweka misimbazi tu mezani... kwisha habari yao [emoji4]
 
Nyie wanawake ni majipu kwa kweli hata mkiambiwa u kweli hamtaki ndio maana tunawadanganya tu siku iz
 
Back
Top Bottom