Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Ni ajabu...hawa viumbe ni ngumu kujua hasa wanachokitaka,wakiambiwa ukweli wanadharau wakitumika na kutupwa wanalalamika.unataka waanzaje ? huwezi jua huenda ana nia ya kukuoa kweli moyo wa mtu ni kichaka kinene. mkidanganywa mnakubali mkiambiwa ukweli mnakataa...........................😵😵😵😵