condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
Lol acha kumtesa mwenzako aiseeKha eti kila nikikuona naumia jamani huu ni mwaka wa nne unanitesa...
Kha eti kila nikikuona naumia jamani huu ni mwaka wa nne unanitesa...kwani mie sio mwanaume?Mimi penda wewe kupita maelezo.
Anytime nitaacha kazi kwa ajili yako maana naona nakoelekea ni maumivu tu yananitawala ....Ajira zilivyo ngumu kupatikana...
Kwa nn hunipendi ..naona kama unanidharau sana ama nina kasoro..
Basi jamaa akanunua gari ..sijui alidhani gari lake ndo litamsaidia kupata kile anacholilia kila siku
Mara akaanza ooh baada ya kazi nitakupa lift..nataka nikupeleke kwako.. mtu mzima ovyo..
Majibu aliyopata public transport inanitosha sana mpaka siku nipate la kwangu.
Toka hapo nikimsalimia haitikii tena na ukitoka mlango wake wa ofisi unaingia wangu ...
Huu mwenzi wa tatu mwendo mdundo no salam...inachekesha
Cha kunishangaza mtu ameoa na ana watoto wawili wanawake tuna kazi,,
Dunia sio mbaya walimwengu ndio hawakamatiki ....
Lol acha kumtesa mwenzako aisee
Teh kamsemee kwa mkewe ajiju
Yani unikatae na kashfa huku jf? Ngoja sasa ntakuendea kwa babu,nshakusoma wewe
Yani unikatae na kashfa huku jf? Ngoja sasa ntakuendea kwa babu,nshakusoma wewe
Hongera sana kwa uamuzi wako.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI"
ha ha Tanmo kwa unyonge na unyenyekevu unanipa poleAisee!! Pole sana..
Gaspery acha uchokozi ..
kama ni wewe kiukweli sijakuelewa...eti uache kazi kwa ajili yangu ...Ajira Ajira watu tunalia na ajira
Siyo uchokozi yani hapo unazidi kutibua nyongo yangu kama nakaa na mawazo miezi mitatu yote unaona poa tu yani hata hii kazi nshaichukia na sioni maana ya hii pesa ntajivua gamba
Vip mama watoto anajua haya?