Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Siunajua alidhani easy to carry so inauma sana kutopata anachotaka....Erickb52 mie huwa nadhani labda ana matatizo ya akili ..kashaoa ina manaa nafasi iko full
Na kununa nuna huko kunatokea wapi?
kumbe hata gari hana....ndio kwanza anataka anunue....um,i guess nikukopa...hebu tupa kule...
Tatizo la watu wenye tabia hizo, Ukimvulia nguo ya ndani tu! basi kwisha habari yako...! Ukibipu upigiwi na ukipiga ww sababu kibao...........! mara niko kwenye kikao, mara semina.
Mwanaume mwenye mke hana maana hata kidogo, Hatosheki ni tamaa tu, hamna mapenzi, kashawapenda wengi basi kwa stahili hii.
hvi mwanaume wa mtu anadhani ni rahisi mtu mzima na akili zako uende nae kujilaza maguest short time eti
cha kujidhalilisha?
ili nini kwanza?
tamaa zenu malizieni kwa wake zenu na mabeki tatu wenu huko
upuuzi mtupu
bagah gari kanunua ndo kila siku anaomba anipeleke kwangu..kumbe hata gari hana....ndio kwanza anataka anunue....um,i guess nikukopa...hebu tupa kule...
vibaya hivyo....umepewa bure toa bure.....
natania mwayego.......mpotezee huyo
Afu kuna mmoja nimemnunia hapa ofisini.
Kila nikimwimbisha anasema, anamwogopa bosi wake
Mapenzi yana hila!