Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.

Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.


Mhg hata sjui sababu ni nn?

Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.

Mrs Mshana.
Demiss.


Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
 
Mhh mbona observation iko biased
Mimi hapa niko kwenye Mwendokasi natoke Kivukoni naelekea Shekilango wanawake walionizingira wananuka zaidi ya KIKWAPA yaani kinaitwa KIBEBERU na wengine wamechanganya VUMBA LA SAMAKI+KIBEBERU+ LEAKAGE = ???????.
 
Mhh mbona observation iko biased
Mimi hapa niko kwenye Mwendokasi natoke Kivukoni naelekea Shekilango wanawake walionizingira wananuka zaidi ya KIKWAPA yaani kinaitwa KIBEBERU na wengine wamechanganya VUMBA LA SAMAKI+KIBEBERU+ LEAKAGE = ???????.
Watu wa Dar wana majasho si wanawake si wanaume ila waume zao wamezidi
 
Hahahaha pole siku nyingine uite tax
Yan acha tu wakat wa kurud bae anipeleke mpaka airport maana nilimwambia usjali nitakuja tu kumbe napita kwa ray
 
kumbe ni dar tyuuu senkyuuu lodi senkyuuu ze olmaiti wa mikoani tumeponaaaa wa dar inawahusuuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…