Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Mara tuambiwe wanaume wa dar tunajiremba kama dada zetu mara tunanuka yaani tunasimangwa kama watoto wa kambo.
 
Kuacha domo wazi kama wanayaturu wa stand singida
Lakini kwakusema ukweli Bibi, unatuchukia sana sisi wanaume wa Dar, hata sijui tulicho kukosea wallah.....
Alafu ajabu, umeamua kuiondoa Msata eti sio Darslam... tehteehhh
 
Pigia mstari
Sawa mama, basi ulisikia kikwapa chako mwenyewe maana hamna wanamme wasafi tanzania hii kama wa dar. Wqnawake wa mikoani mkifika huku mnapotelea kwetu muulize miss Natafta alivyopotelewa na mwanamke wa mkoani kama wewe
 
Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.

Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.

Mhg hata sjui sababu ni nn?

Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.

Mrs Mshana.
Demiss.

Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Umeshuka Airport hata nauli ya Tax huna? Na kuna Uber siku hizi?

Distance ya kutoka arrival lounge airport mpaka kituo cha daladala ni zaidi ya mita 500 nusu kilometer unepiga kwa mguu sasa isijekuwa tu nawewe ulikuwa unanuka kikwapa.
 
Ni kweli kabisa. Ukitaka kuthibitisha has a subuhi kwenye daladala na mwendokasi na wengi ni vijana 15-30+
 
Mara tuambiwe wanaume wa dar tunajiremba kama dada zetu mara tunanuka yaani tunasimangwa kama watoto wa kambo.
Comment yako imenichekesha kishenzi
 
Lakini kwakusema ukweli Bibi, unatuchukia sana sisi wanaume wa Dar, hata sijui tulicho kukosea wallah.....
Alafu ajabu, umeamua kuiondoa Msata eti sio Darslam... tehteehhh
Msataaa pwani kuna hewaaa nzuri
 
Umeshuka Airport hata nauli ya Tax huna? Na kuna Uber siku hizi?

Distance ya kutoka arrival lounge airport mpaka kituo cha daladala ni zaidi ya mita 500 nusu kilometer unepiga kwa mguu sasa isijekuwa tu nawewe ulikuwa unanuka kikwapa.
Nimetoka mkoani so lazima nitembee kuangalia mazingira mme wangu ana bonge la gari BMW uwezo wa kunifata anao ila niliamua kuangalia mazingira sijui kuna ambacho tumekosea
 
Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.

Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.

Mhg hata sjui sababu ni nn?

Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.

Mrs Mshana.
Demiss.

Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Wewe unaweza kutuhakikishia haunuki papuchi na joto hili la dsm..! Wanaume tunavumilia mengi poleni braza #Mshana Jr
 
Nimetoka mkoani so lazima nitembee kuangalia mazingira mme wangu ana bonge la gari BMW uwezo wa kunifata anao ila niliamua kuangalia mazingira sijui kuna ambacho tumekosea
Umefika saa ngapi kongowe..![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mhh mbona observation iko biased
Mimi hapa niko kwenye Mwendokasi natoke Kivukoni naelekea Shekilango wanawake walionizingira wananuka zaidi ya KIKWAPA yaani kinaitwa KIBEBERU na wengine wamechanganya VUMBA LA SAMAKI+KIBEBERU+ LEAKAGE = ???????.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari hatari aiseeeee
 
Wifii Demiss sio vikwapa tu...boxa yani akikusimamia kwa daladala unatamani umpishe akae wewe usimame....
Ni shidaaa...
 
Hahahahahaha sijasoma ila najua ulichoandika kitanichekesha
 
Back
Top Bottom