Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Sasa dada unategema watu wapo kwenye mihangaiko na jua kali hili ukizingatia vyuma vimekaza ukute watu wananukia?

Imeandikwa mwanaume kula kwa jasho! Sasa wewe ushazoea Mshana Jr mganga yeye kakaa tu kilingeni kivuli kikubwa mda wote ananukia udi na ubani, unataka na uswazi hayo nayo uyakute? [emoji23]
 
Ahaa mshana kanizoesha vibaya sana[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shoga Leo nilikua busy kweli...ndo naiona thread hapa!

Usiwaseme bwana kaka zangu wa dar!
 
Kusema ukweli baadhi ya wanaume kweli hunuka lakini sio wote yani kati ya 11 utakuta 3 ndo hunuka hii kawaida, halafu harufu ya kikwapa ni dawa ya kichefu chefu BUT

Wakina dada hunuka vibaya hasaa beki 3 utakuta mtu asubuhi anatoa harufu mbaya utadhani kuna ka Public toilet pembeni yani mmepishana lakini atakuachia harufu sijui Pichu hambadilishi au , lakini mbona taulo zenu zimepungua bei jamani kila mtu anaweza nunua zile pads ,muwe mnabadilisha yani wakina dada sincerely mna harufu kaliiiii na nzito .....

Kuna mtu nkamuuliza why this smell , akaja akasema ni scent of women hiyo ni natural smell lazima kila mwanamke awe nayo hasa nkasema mbona ni kero
 
Hajaiona nahisi hata yeye tulupishana naye mawasiliano alikuwa kwenye kivitz kavaa miwani na busholii kubwaa
My dude Nyani Ngabu umesika kashfa hizi.

Whatchu rocking today?

I'm rocking that Versace Dylan Blue.

Nasikia una Eau de Cologne kali inatumia wavelength za internet mpaka uki reply hapa tutasikia harufu kupitia JF.
 
Last edited:
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shoga Leo nilikua busy kweli...ndo naiona thread hapa!

Usiwaseme bwana kaka zangu wa dar!
Oooh usjali majukumu kama kawaida weekend mapugi day
 
Hajaiona nahisi hata yeye tulupishana naye mawasiliano alikuwa kwenye kivitz kavaa miwani na busholii kubwaa
Hahahah! Wamkoani utawajua wanamshangaa na kuhisia kila mtu kuwa yuko jf.
 
Acha tu yaani sina binti basi ukirudi tafrani wangu!kaah!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mapugi day!
Poleee sana ningekuwa village ningekutafutia binti mm mpaka huwa nachoka maana nyumba yangu haijawahi kukosa mabinti marafiki hapa nimewaacha watatu nikirud home mm boss hakuna kazi nagusa labda nijisikie kupika tu siku hiyo
 
Back
Top Bottom