Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

ndio maana wanaume huwa wanaamua kuwafanyizia kwa ujinga huu japo huwa siwaungi mkono but huwa mnayataka
 

Wanaume wa huko Dar mlimkosea nini Mungu?
Mkioga vizuri na kunukia mnaambiwa walaini.
Mkiamua kuacha,mnakutana na haya ya vikwapa.

Wawe wa wastani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…