Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] et wananuka kwapa ungejichunguza mwenywe mda mwngne tunatembea na tatzo tukdhan lnatoka kwa wengne
Hahahaha kwann nilipokuwa mkoani sijaona hayo mambo
 
Wanaume wa Dar wanasema deodorant na cologne zinasababisha saratani.

Wako natural zaidi.
 
Poleee sana ningekuwa village ningekutafutia binti mm mpaka huwa nachoka maana nyumba yangu haijawahi kukosa mabinti marafiki hapa nimewaacha watatu nikirud home mm boss hakuna kazi nagusa labda nijisikie kupika tu siku hiyo
Shoga angu hongera sana!Mimi hapa Nina wanafunzi sitaki wanipikie akuuu[emoji23] vya primary!nkirudi napika mwenyewe .

Nilisema napumzika mabinti maana wanasumbua jamani!
Naona unakula raha km nyau La kizungu!!
 
Watu wa Dar wana majasho si wanawake si wanaume ila waume zao wamezidi
Asa ulitaka wajinyunyizie udi na ubani au wanukie marashi ya pemba kama wanaume wa upareni?

Mwanaume kunuka jasho ni ishara ya upambanaji. Kila la kheri wapambanaji wa Dar.
 
Wanunulie deodorant
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] et wananuka kwapa ungejichunguza mwenywe mda mwngne tunatembea na tatzo tukdhan lnatoka kwa wengne
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shoga Leo nilikua busy kweli...ndo naiona thread hapa!

Usiwaseme bwana kaka zangu wa dar!
Kwa uzoefu Wangu humu JF ,unadhani ingekua vipi huu Uzi ungeletwa na kidume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…