owky chamdekooooSiri yangu bhn mm wa Dom
owky chamdekoooo mzima lakiniiiSiri yangu bhn mm wa Dom
Acha kabisa wengine kwa starehe huwa wanahamia kabisa na mabegi mpaka wakiona sijarud mwezi ndani hamna kitu nakuta wameondoka wameacha ufunguo nikirud tu wanarudi alafu mashost nawaacha tu mm naendelea na kazi sijawahi kuishi peke yangu kabisaKaah!pole ushoga wa mjini kazi etiii!
Mi siwezi jamani ushoga huo wa kwenda kulala kwa mtu wiki siku kadhaa au mwezi looh
πππ mda wa kwenda kitengo huu chamdekoHujalala unasubir notification yangu
ah wapi gnery mbali sana sogea mpaka jamatiniMzima nipo Genery hapa njoo
Ahhaha kumbe nataka niende kwenye hamsini kitu pale kama hospital kwenye kale kasoko ka nguo kanaitwaje nyuma ya posta[emoji23][emoji23][emoji23] mda wa kwenda kitengo huu chamdeko
alafu acha kusema ukweli basiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
karibu na eso au siyo me jina la soko silifahamuuuu alafu we chaliii wa singida kabisa sabasaba hivi masai ndo kwenu veta hivi ila nini poa ntakutafutaaaaAhhaha kumbe nataka niende kwenye hamsini kitu pale kama hospital kwenye kale kasoko ka nguo kanaitwaje nyuma ya posta
achana na ya huko kuna hapa stand ya zamani matelephone street njoo ntalipiaaaaNaenda kupata supu singidan motel
Avatar yako inani-Describe mimi..π
karibuuu me nipo duka la 3 pande zoteeeNakuja kuna siku vijana wa matelephone waliswekwa wote sero nasikia waliingiza mzigo fake wa tekno