Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Kaah!pole ushoga wa mjini kazi etiii!

Mi siwezi jamani ushoga huo wa kwenda kulala kwa mtu wiki siku kadhaa au mwezi looh
Acha kabisa wengine kwa starehe huwa wanahamia kabisa na mabegi mpaka wakiona sijarud mwezi ndani hamna kitu nakuta wameondoka wameacha ufunguo nikirud tu wanarudi alafu mashost nawaacha tu mm naendelea na kazi sijawahi kuishi peke yangu kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mda wa kwenda kitengo huu chamdeko
alafu acha kusema ukweli basiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhaha kumbe nataka niende kwenye hamsini kitu pale kama hospital kwenye kale kasoko ka nguo kanaitwaje nyuma ya posta
 
Ahhaha kumbe nataka niende kwenye hamsini kitu pale kama hospital kwenye kale kasoko ka nguo kanaitwaje nyuma ya posta
karibu na eso au siyo me jina la soko silifahamuuuu alafu we chaliii wa singida kabisa sabasaba hivi masai ndo kwenu veta hivi ila nini poa ntakutafutaaaa
 
Most of them ya waafrika wananuka vikwapa....ukienda mashuleni,masokoni au vijijini wapo wengi sana na hata mijini wamejaa telee...
 
Back
Top Bottom