Baadhi ya wake hawajui hata kwamba waume zao wanafanya kazi zaidi ya moja ili kuhudumia familia.
Dunia ni mahali pagumu kwa mwanaume.
Rafiki yangu alipoteza kazi yake mwaka jana. Jamaa amejiongeza gari yake ameisajili Bolt hivyo anatoka nyumbani kila siku kwenda kazini.
Mke wake hata hajui kuwa mumewe nowdays ni dereva wa Bolt kwa gari lake.
Anadai hajamwambia kwa sababu mke wake huyo ni mlalamishi na ana dharau vibaya mno.