Baadhi ya wanawake hula kondo mara baada ya kujifungua

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,673
Reaction score
1,875
Je ulijua kama Kondo la Nyuma au "Placenta"?Baadhi ya wanawake wanakunywa maji yaKondo la Nyuma saa chache baada ya kujifunguaHugeuka kuwa uchafu pindi mamaanapojifungua , sasa kwa nini baadhi yawanawake wanaamua kula Kondo la nyumaau Placenta ikiwa mbichi ?Kondo la Nyuma huwa ni sehemu ya mwili wamama anapokuwa mjamzito, sehemu hiyohumsaidia mtoto kupata chakula na hewakutoka kwa mama akiwa tumboni.Pindi mama anapojifungua kazi ya Kondo laNyuma huisha papo hapo na hivyo hutupwa ,lakini sio kila mtu ana mtazamo huu.

Baadhi ya wanawake wanaamini kuwa madiniyanayopitia kwa mkondo wa Nyuma hadi kwamtoto ili kumuwezesha mtoto kukuwa huwabado yanaweza kutumika na kwamba sio vizurikuitupa.Wanasema kuwa mama bado anaweza kupatamadini muhimu wakati anapoendelea kupatanafuu baada ya kujifungua na pia anapoanzakuonyonyesha kwa kula Kondo la nyuma.'Mama ale Kondo la Nyuma?'Baadhi ya wanawake husaga kondo hilo nakunywa maji yake saa chache tu baada yakujifungua, baadhi wanaihifadhi na kutengezatembe ambazo wanameza na wenginewanaikata vipande vipande kwa kuweka chini yandimi zao.Wanafanya hivyo kwa kuamini kuwa tembe hizozinaweza kuwapa nguvu na pia kusaidia maziwaya mama kuongezeka.

Kampuni moja nchini Uingereza inayotengezabiadhaa mbali mbali kutoka kwa Kondo laNyuma, hulipisha watu kati ya pauni 150 audola elfu kumi na saba kwa kila tembe na chiniya dola hamsini kwa maji ya kondo hilolinaposagwa.Baadhi hutengeza maji ya sharubati kwakuichanganya na matundaBaadhi wanaamini kuwa Kondo la nyuma huwana madini mengi ambayo hayapaswi kutupwatu.Lakini kampuni hiyo inakumbwa na kesimahakamani ambayo huenda ikaisababishakufungwa.Kampuni hiyo ilishitakiwa na wataalamuwanaohofia kuwa bidhaa hizo zinaweza kuwa naBakteria ambayo inaweza kusababisha athari zakiafya kwa wanaotumia bidhaa zinazotokana nakondo la nyuma.

Charlie Poulter, kutoka mtaa wa Reading,anaamini kuwa alipokunywa maji ya kondo laNyuma pindi baada ya kujifungua ilimwezeshakupata nguvu."nilikunywa harakaharaka, kwa sababu sikutakakutafakari kuhusu harufu na ladha yake,alisema Charlie''"nilikuwa nimejifungua na nilihisi kuishiwa nanguvu sana na pia kwa kiasi kidogonilijidharamau. Kwa hivyo nilihisi kuwa ikiwanitakunywa maji hayo ingenisaidia kupata nguvuna kupona haraka,'' alisema mama Charlie.'Kondo la Nyuma ni nini?'Baadhi ya wanawake huikausha na kuikaangakama nyamaHii huwa ni kiongo cha mwili ambacho huwakimeshikana na nyumba ya mtoto pamoja nakitovu.

Kiungo hicho hubeba hewa ya Oxygen namadini kutoka kwa mama hadi kwa mtoto.Pia husafirisha uchafu kutoka kwa mtoto hupitiakwa kiungo hicho hadi kwa mama.Baada ya mtoto kuzaliwa kiungo hicho hutokamwilini mwa mama anaposukuma mtoto auhutolewa na madaktari mama anapofanyiwaupasuaji.Binadamu kwa kawaida hajulikani kwa kulasehemu hiyo ya uzazi. Ni kawaida kwa baadhi yawanyama wa baharini na wanyama wengine wakufugwa. Lakini kwa mwanmadamu , bila shakani jambo geni.Nchini China baadhi ya madaktari wa kienyejihutumia sehemu hiyo ya mwili kutengeza dawaza kienyeji lakini utamaduni huu wa watu kulaKondo la Nyuma umeanza tu kusikika katikamataifa ya magharibi.'Je wanasayansi wanasemaje?'

Hadi leo hakuna utafiti wowote kuhusuwanawake wanaokula Kondo la nyuma.
===============================================================




Chanzo:bbc
 
Hapa mnazungumzia wanawake wa binadamu au wanawake wa ng'ombe!!!
 
Maajabu ya dunia hii hayatoisha kamwe.
 
This is the most revolting story I've heard in quite a while..Hata kama ni kweli!
 
Mimi nijuavyo baadhi ya wanyama hula placenta kwa kuwa uwepo wake sehemu waliojifungulia huvutia wanyama wakali wanaokula nyama kiasi wanaweza kujua uwepo wa mtoto.

Haya ya binadamu mapya.
 
Mhhhhhhhhhhh!!! hii kali,nimejiskia kichefuchefu ghafla!!!!
 
Kuleni tu maana vyakula vyenye madini vimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…