hiki kitakuwa ni kitu cha mwisho kabisa kuwaza kuwa chakula nikiwa na uhai
Kuna watu wanakula ubongo wa binadamu hali hii huitwa cannibalism.
Chonde chonde tusipoangalia kina mama wajawazito watawindwa kama swala ili kujipatia nyama ya placenta
Nahisi kutapika, chai haishuki sasa
Teh teh polee...natamani Tanzania wataalamu waseme inatakiwa ale baba
Hahaha, na talaka nadhani utakula hapohapo kitandani na mtoto wako
Unashtakiwa ustawi wa jamii
Inategemea unamshtaki nani, huwezi kunishtaki kwa matatizo ya nyumbani kwangu