Baadhi ya wanawake siku hizi ni wezi na matapeli

Baadhi ya wanawake siku hizi ni wezi na matapeli

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Asili ya mwanamke ni pambo za tabia njema,uadilifu na uaminifu toka enzi na enzi ,mwanamke akibeba zege watasema kama dume vile ila mwanaume akipika hawasemi kama mwanamke vile

Wanawake baadhi wa sasa hivi kwa kweli sijui ni wa sayari gani,kwa sababu tuna hulka mbaya mbaya ambazo ukiambiwa unajiuliza hivi huyu ni mwanamke ametoka kwenye mifupa ya wazazi au kashushwa?

Sio wote lakini wengi sasa hivi wana tabia mbaya jamani,tumekua tukishuhudia majambazi ya kike mpk unashangaa,achana na ujambazi utapeli siku hizi wadada hawana mpinzani(sio wa kimapenzi)yaani wanatapeli Mali mchana kweupe,kuna wezi hao ndo usiseme wizi mdogo mdogo na mkubwa yaani zile tabia za ajabu za kiume sasa hivi sisi ndo tumebeba,kuna video mbali mbali zinarushwa wanawake wamekamatwa waanaiba maduka ,nguo,cheni n.k mmoja niliona kakamatwa anaiba kanisani[emoji3][emoji16][emoji16]
Hivi tumekosa utashi kiasi hicho wamama...ifike mahali turidhike na hali zetu hakuna maisha magumu kama ya kuigiza au ya kwenye video unataka ufanane na Fulani badala ya kujikubali
Siku moja tulienda kwenye kitchen party na mwenzangu sasa tumepiga picha mda wa kugomboa nkalipia nafika mbel ananionyesha picha nyingine ya kwetu eti aliiba kwa kua hatuigomboa...nilichoka sana!!

Huko kwenye sosho media kuna wanaoijfanya wanauza vitu online hao ndo matapeli vibaya anakuambia tuma hela,ukituma umeliwa hapatikani...yaani sasa hv wanawake zile tabia ambazo tulikua tunawasema wanaume naona na sisi ndo tunazivaa...najua humu hamna wenye hizo ila wasomaji wapo wengi...

Tubadilike kwa kweli tuwe na hofu ya Mungu sisi ndo walezi na sisi ndo kiigizo cha watoto wetu!!!
 
Dah,nimeumia sana rohoni(sio kwasababu ya mada lahasha ni kwasababu ya mtoa mada,yaani mwanaume mzima kujijumlisha kuwa na wewe ni mwanamke)
Hata kama wewe ni shoga lakini siuna mboo?acha mambo zako bhana
 
Humu madume mengi yanajiita majike toka kitambo subirini siku yao yajaa
 
Kweli mkuu,huyu ray ni shoga kabisa,sasa eti nae kawa mwanamke
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tutawataja na wengine we subiri waje waje hapa,kwa mimi ninavyoijua jf ni ngumu wanawake kujaa humu.
 
Dah,nimeumia sana rohoni(sio kwasababu ya mada lahasha ni kwasababu ya mtoa mada,yaani mwanaume mzima kujijumlisha kuwa na wewe ni mwanamke)
Hata kama wewe ni shoga lakini siuna mboo?acha mambo zako bhana
Mkuu una uhakika na unachosema?
 
Back
Top Bottom