Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Pls acha mara moja bro, kwa niaba ya JF nzima nakuomba uache mana we ni mtu safi na kama shida utelezi nina mshkaj wangu wa kuitwa Fetty Msungo

Hapo unanitajia specifics tu naku hook na endless supply ya pumpum
Umejuaje mm ni mtu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…