Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kweli tupu brazaBaaadi (marioo voice?) 😂
Ya kweli au pumba tu sister?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupu brazaBaaadi (marioo voice?) 😂
Ya kweli au pumba tu sister?
Hakuna nilipo changanyaTatizo unanimix kuna muda naona hu support kutembea na mke wa mtu kuna mda vingne msimamo wako haswa nn?
Straight qn, ni sawa au sio sawa?
nakubali sister, ninyooshee nyumbu wanaoona raha kukitembeza na kuharibu familia za watu! Nafikiri ndo neno kidudu mtu lilipotokea yan kidudu flani kinaingilia na kuvuruga amani za watu dahKweli tupu braza
Hujajibu, ni sawa au si sawa kutembea na mke wa mtu au mwanamke kutembea na mme wa mtuHakuna nilipo changanya
Ni sawaHujajibu, ni sawa au si sawa kutembea na mke wa mtu au mwanamke kutembea na mme wa mtu
Pls acha mara moja bro, kwa niaba ya JF nzima nakuomba uache mana we ni mtu safi na kama shida utelezi nina mshkaj wangu wa kuitwa Fetty MsungoNi sawa
Umejuaje mm ni mtu safiPls acha mara moja bro, kwa niaba ya JF nzima nakuomba uache mana we ni mtu safi na kama shida utelezi nina mshkaj wangu wa kuitwa Fetty Msungo
Hapo unanitajia specifics tu naku hook na endless supply ya pumpum
Watu wote hua safi mpaka akupe reason otherwise, na like zako hulipwi ila unatoa as if its your life support mtungi ule. So we mtu safiUmejuaje mm ni mtu safi
Sifa mbaya sana hii basi tu, sasa wengine wako proud kabisaUnakaa miezi 9 tumboni kwa mama yako kisha unakuja duniani kuwa mchepuko… pitty
ukweli usemwe mkuu na napokosea nipo tayari kurekebishwa manna me mkosef vile vileKumeanza kukucha
Naona mtoa mada kachefukwa
Uongo? Ili asisumbue watu kuomba 😂🤣🤣🤣🤣
Ili asisumbue wahuni kuomba maji.Kwann mkuu?
🤣🤣🤣Uongo? Ili asisumbue watu kuomba 😂