Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
Habari wakuu,
Wanasema siku za mwizi ni arobaini, wee endelea tu! wanawake mnajidhalilisha sana mmekua kupe kwa waume za watu, hv kama wewe ni mzuri sana au unajua sana mahaba si ungeolewa? Yote roho mbaya makalkiti na madawa ya vichwani na yale madude steamer sjui nn mnaingizaga ndonga mule yamekaanga ubongo hadi simile yote kwisha.
Hivi ukijitizama kwenye kioo unavokua unajipara kwenda kumpa mme wa mtu unaona taswira gani pale? Unavosali unategemea majibu gani, kama una watoto hasa mabinti unaona ni sawa wakikugeza? mana maji hufata mkondo.
Huwezi kupewa thamani ya mke ata siku moja abadani! Ndo mana mnaombwa nnya na mnagawa ili kumbakiza coz hamna cha ku offer zaidi wakati hawezi thubuti kumuomba mkewe mambo ya ajabu.
Mwisho wa usiku kwenye urithi ndo hua patamu mfano bob marley alitembeza sana rungu ila dunia inamtambua Mrs Rita Marley kama final say na mmiliki wa estate ya Bob, malaya zote za pembeni hazina haki ata thumni ya marehemu na ata ukimzalia migogoro inayoibuka wote tunaijua na mifano kibao.
WANAUME
Wazee wanawake wote hawa, kweli unahangaika na mke wa mtu? Nature ya binadamu ni kutaka asicho kua nacho sawa ila ukweli usemwe tuache ushamba hakuna maajabu utakuta kwa huyo malaya aliejirahisisha.
Navojua kuna K ya maji, kavu, ya moto, baridi, mtera, mnato ila nasemajee k ni k tu mtu yoyote mwenye uzoefu kidogo na wanawake labda ushatembea na zaidi ya wa 5-10 unajua haina haja ya kuongea sana.
Braza siku zote tembea na ule msemo ukiona vyaelea vimeundwa! Kahaba ya lounge inakudatisha kisa imekaa uchi uchi, ina kope, ngozi laini inanukia kama jini.. ila vyote hivo unaweza mfanyia mkeo na kama unapenda videnti mshonee kisketi wala sio masihara!
Kwahyo tunashoboka na dude limetumia masaa kadhaa kujipara na lime invest pesa ya wanaume wenzio kupata mwonekano huo, mfanyie mkeo awe unavotaka.
Tukijikita kweye mada, ndugu yangu koma mke wa mtu! Nasema tena koma, ohooo.. na kama unaona sawa tu basi kuna siku vilainishi vitahusika wakutoe ubingwa au kuuliwa kabisa.
Peace.