Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Aisee sio kweli kabisa,Album yake ya DAMN imeuza sana so anamashabiki wengi na pia kiuhalisia kastahili kushinda tuzo zote alizochukua.Tusipende kuongea vitu tusivyovijua.Yule nahisi anawafuasi wengi kweny iyo staff ya hizo tuzo
Wamemuonea sana jay z....hizi tuzo zinazidi kupoteza ubora wake..1. Bruno Mars went 7 for 7
2. Kendrik Lamar 5 for 7
3. Jay Z 0 for 8
Wamemuonea sana jay z....hizi tuzo zinazidi kupoteza ubora wake..
Kama tatu ivUnadhani alistahili tuzo ipi kwenye nominations alizokuwemo?
Kama tatu iv
Nasikia Jay Z kakataa ku-perform
Bruno is legend huyu dogo1. Bruno Mars went 7 for 7
2. Kendrik Lamar 5 for 7
3. Jay Z 0 for 8
Bruno is legend huyu dogo
Ila Grammy nao karibia kila mwaka album of the year wanabugi ... 24K magic over Damn & 4:44 [emoji15]
Hilo neno naliona sana lakini sijuagi maana yake!..any help please!The G.O.A.T
Hilo neno naliona sana lakini sijuagi maana yake!..any help please!
Nimejaribu ku-play tena 24K magic bruuh[emoji45]Noma sana, wazee wa Hip-Hop kwenye Album of The Year wanapigwa kumbo sana, mwaka huu mimi nilitegemea sana DAMN ingewin hii tuzo, 4:44 sikuipa kipaumbele sana, na nimeona kama Jay Z ukongwe ulimbeba kwenye nominations.
Nimejaribu ku-play tena 24K magic bruuh[emoji45]
K Dot Damn aliitendea haki kabisa bila utata ... Jay z walimpa marks sababu 4:44 ilikuwa na true confession na iligusa every angle ya maisha ... yawezekana kugoma ku-perform nao wakamuangamiza [emoji41]
About Bruno Mars, It is all about Jewish conspiracy1. Bruno Mars went 7 for 7
2. Kendrik Lamar 5 for 7
3. Jay Z 0 for 8
About Bruno Mars, It is all about Jewish conspiracy