Baadhi ya washindi wa tuzo za GRAMMY AWARDS kwa zile category muhimu

Baadhi ya washindi wa tuzo za GRAMMY AWARDS kwa zile category muhimu

Yule nahisi anawafuasi wengi kweny iyo staff ya hizo tuzo
Aisee sio kweli kabisa,Album yake ya DAMN imeuza sana so anamashabiki wengi na pia kiuhalisia kastahili kushinda tuzo zote alizochukua.Tusipende kuongea vitu tusivyovijua.
 
heheh jiggar kama dully kwenye KTM, sasa anajitoa mwakani hashiriki
 
Bruno is legend huyu dogo

Ila Grammy nao karibia kila mwaka album of the year wanabugi ... 24K magic over Damn & 4:44 [emoji15]

Noma sana, wazee wa Hip-Hop kwenye Album of The Year wanapigwa kumbo sana, mwaka huu mimi nilitegemea sana DAMN ingewin hii tuzo, 4:44 sikuipa kipaumbele sana, na nimeona kama Jay Z ukongwe ulimbeba kwenye nominations.
 
Nimejaribu ku-play tena 24K magic bruuh[emoji45]

K Dot Damn aliitendea haki kabisa bila utata ... Jay z walimpa marks sababu 4:44 ilikuwa na true confession na iligusa every angle ya maisha ... yawezekana kugoma ku-perform nao wakamuangamiza [emoji41]
 
Kiukweli hata kwenye tuzo za Rap ningeshangaa sana kama 4:44 ingechukua chochote mbele ya DAMN, u-legendary ulimbeba jamaa kwenye nominations, most probably hiyo confession ilimbeba pia.

DAMN is the real deal.
 
Siamini yaani despacito ya Luis fonsi, haijachukua hata tuzo moja.
 
ALBUM OF THE YEAR - 24K MAGIC/ BRUNO MARS

24k_magic_bruno_mars_1500975124.jpg

SONG OF THE YEAR - THATS WHAT I LIKE- BRUNO MARS
latest.jpg

BEST RAP SONG - HUMBLE / KENDRIC LAMAR
kendrick-lamar-humble-thatgrapejuice.jpg

BEST RAP ALBUM - DAMN/KENDRIC LAMAR
110f1bc303cc325387201ff0a809723f.1000x1000x1.png

BEST MUSIC VIDEO - HUMBLE/ KENDRIC LAMAR
kendrick-lamar-humble-thatgrapejuice.jpg

BEST RnB SONG - THATS WHAT I LIKE - BRUNO MARS
latest.jpg

BEST RAP COLLABO - LOYALTY / RIHANNA FT KENDRIC LAMAR
216441493541446.jpg

BEST RnB ALBUM - 24K MAGIC BRUNO MARS
24k_magic_bruno_mars_1500975124.jpg
 
Back
Top Bottom