Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
Story of Oj classics songHiyo ngoma naielewa sana hasa pale anasema
"Financial freedom is my only hope/
**** living rich and am dying broke/"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story of Oj classics songHiyo ngoma naielewa sana hasa pale anasema
"Financial freedom is my only hope/
**** living rich and am dying broke/"
kaishiwa now deiz hana mpya ..album yake aliyoitoa imeshindwa kufnya vyema kama zilivyoweza kufnya album zake za awali ..hakuna hata hit song moja ya maana ...anapaswa kumuomba msamaha kanye sasa..hahaaa maana ndiye aliyekuwa anachangia kumbeba pamoja na rihanaWalichofanya Si Sawa Wamemnyima Shemeji Ata Moja Kati ya Hizo Nane Si Vyema.
kaishiwa mkuu sema kuna ambao watapinga mnoo hili ..jay pia alikuwa anabebwa na uwepo wa kanye na riri kwenye nyimbo zake ...yaani we hushangai jiga katoa ngoma hata mtaani hazisikiki..kama waimbaji wa music wa country bhana...nyimbo zao huwa zaishia kuvuma huko huko kwaoJay z kawekwa tu kwa heshima ya u legend but kwenye kuchukua tuzo mm sikufikiria kabisa kama ataokota hata moja esp kwenye album yake ilikuwa too personal sana wala haina social impact yoyote maybe nyimbo ya the story of Oj hata yeye alijua hivyo hawez chomoka kwa King Kunta napenda sana nisikie his opinion about this
..