Kidzogolae
Senior Member
- Apr 20, 2008
- 133
- 2
- Thread starter
- #21
Jamani, mmenishambulia tu na kunitusi bure. Ninachoweza kusema, ni kwamba, NAOMBA SAMAHANI kwa pale nilipotumia lugha offensive. Lengo langu lilikuwa ni kueleza tu kuwa "upofu wa fikra" unaotokana na upungufu wa information. Humu ndani kuna watu wengi sana hawajawai kuishi kijijini,pamoja na kwamba wanapitapita mara nyingi. Mini nimezaliwa kijijini, nimesoma kijiji, na wazazi wangu bado wako kijijini. Naenda mara kwa mara kijijini. Pamoja na kwamba Mungu amenibarikia kuwa na kipato kinachonifanya nisiishi kijijini tena, bado huwa natembelea vijijini sana mara kwa mara, na nimeshafanya kazi nyingi sana za kuzunguka vijijini. Naelewa ninacho kisema. Radio wanazosikiliza vijijini maranyingi ni Radio Tanzania Dsm ambayo ndo TBc. Hamna Television. Hamna magazeti kabisa. radio chache za FM zinafika, lakini sio kila sehemu. hata hizo zinazofika, wananchi hawasikilizi wote. wengi wanakuwa busy kulima mashamba, na jioni kilabuni ambapo radio ni burudani yaani muziki. wengine huenda misikitini au makanisani kusali. wakirudi wamechoka, kula, kulala. Wanaweza kusikiliza pia radio za nje za kiswahili, lakini wachache tu. wengi wanakosa sana information. inasikitisha kuona watu wengine wananipinga wakati wao wako US au UK hapo, mimi ninaeongea hata wiki iliyopita, nilitembelea kijijini hapa tz. najua ninachoongea.
Sisemi watz vijijini vipofu kwa nia ya kuwatukana. nasema hivyo kwa nia ya kutaka sisi tupambane tuwakomboa. sisi huku mjini ambao tukirudi tu jion kazini tuko kwenye tv zetu kusikiliza, na radios, na asubui tuendapo kazini tunanunu magazetu na kusoma, tuna information nyingi kuliko wale wenzetu. ikijumuisha na kwamba wao ni masikini zaidi kuliko watu wa mjini, basi, mawazo yao yote yanaweza yakabadilishwa kwa kitenge, elfu kumi au hata mwaliko wa kununuliwa pombe na makata wa kifisadi. Pia, kwasababu elimu kwao ni ndogo, upeo wa kufikiri ni mchache pia. warahisi kurubuniwa.
wale waliompokea chenge na Lowasa si ajabu waliahidiwa alfu tatutatu tu kuwa watapewa. ili kusafisa mtu. Naomba, mtoe maoni ya reality, sio maoni ya mambo yasiyokuwepo. mimi siwatukani watz kwani mimi ni mtz pia. hela za mafisadi zingefaa basi hata kupeleka watoto shule ili tusiendelee kuwa na watu wasiosoma vijijini wanaoweza kurubuniwa kwa vijisenti tu. asante, na samahani kama kuna offensive word nyingine nimeongea.