TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,864
- 8,706
Mbona Kuna wambongo kibao wanatoa michongo na deals nyingi tu hukoo Facebook Instagram na YouTube??
Sio wote Wana roho mbaya mkuu
Mwisho
Tanzania ni laaana kukaaa Tanzania ni laaana na wewe unalaana
Tatizo la ujinga ni kwamba wewe mwenyewe huwezi kujiona mjinga, utajiona mjanja.
Wewe umewai kwenda nchi gani?? Ina maana hujui fursa yoyote nje alafu unapinga usiyajua.
Issue ya kutelekeza familia ni personal issue hata TZ watu kibao wametoboa maisha.
ACHA wivu na roho mbaya
Maza faka.
Heeheeheee mbona naona kama wewe ndio una ugonjwa wa afya ya akili + wivu.Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu!
Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka (Matusi & kejeli) Kwa Watanzania wenzao ambao hawajapata fursa ya kwenda huko waliko wao!
Mara kadhaa hao watu (Malimbukeni) wamekuwa wakiwatukana Watanzania wenzao wanaoishi Tanzania kana kwamba si lolote Wala si chochote!,yaani wao kwenda Ulaya & Canada ndiyo wanaona wameyapatia maisha kuliko Watanzania wengine tunaoishi hapa Tanzania! .Kwakuwa wengi wao ni washamba na wajinga wanadhani kuishi Ulaya & Canada wameyapatia maisha!
Tulitegemea Watanzania hao kwakuwa wameenda kwenye nchi ambazo zimestaarabika nao wastaaribike wasiwe Malimbukeni lakini badala yake ndiyo wamezidi Kuwa wajinga!
Kwenda Canada au nchi za Scandinavian kusikufanye ukaonekana mjanja na kuanza kuwatukana watanzania wanaoishi hapa Tanzania nyie malofa !
Mnalinga na Nini hasa nyie malofa?,Vijana wengi huko tunajua wamekuwa mashoga kwasababu ya kupenda dezo
Tanzania ni nchi yenye fursa za kila aina na utajiri upo nje nje!,ila nyie Malofa Kwa kupenda dezo mkaacha fursa za utajiri hapa nchini mkaona ni vema mwende mkahesabike kama wakimbizi huko nje !
Binafsi siwezi kwenda Ulaya kuanza kuhangaika na Mabox,mara oooh sijui udereva ,mara oooh sijui kufanya kazi mashambani ,mara oooh sijui kufanya kazi kwenye mago-down!
Wabongo wengi huko nje hamna kazi za maana hata kidogo na ndiyo maana hata huku Tanzania familia zenu zinaishi maisha ya Taabu kuliko maelezo!,Kazi kuzurura tu kama Vibaka na kufanya kazi ngumu huku mkiambulia pesa mdogo !,Leo nimeamua kuwachana wapuuzi nyie !
Unakuta jitu zima linapiga picha kwenye Barafu huku limekenua meno halafu linaanza kuwalingishia hizi Barafu wabongo wenzie,nani alikwambia wabongo wanataka uwalingishie Barafu mpuuzi wewe?
Ndiyo maana mnazidiwa na wakenya,Jamaa wakifika ughaibuni wanafanya Video za kuwaonyesha fursa wenzao Ili waone namna ya kwenda kutengeneza pesa lakini mitanzania baadhi ni mavichwa maji,yenyewe yakifika huko kazi ushamba tu na ulimbukeni wa kupiga picha na kuziweka Facebook au Whatsapp status Ili kila mtu ajue yupo nje kwenye Barafu !
Fanyeni maendeleo wapuuzi nyie ili tuone kweli mnazo pesa,siyo kujisifu umeshika Barafu halafu unajiona mjanja!
Mipuuzi mingine umezitelekeza familia zao hapa Tanzania Kwa lengo la kwenda kutafuta maisha mazuri lakini yakishafika huko hata simu hayapigii wake zao huku watoto wao wakipata shida na kuanza kuhangaika Kwa ndugu !,wapuuzi nyie !
Mwanamke anapolikumbusha wajibu wake linaamua kuzira na kumtamkia mkewe kwamba litaoa huko huko na huku halitorudi,kama unamfanyia hivi mkeo wewe ni Mjinga na limbukeni!,Acha ulofa tunza mkeo na watoto wako maana unawapa ndugu zako mzigo ambao si wao !
Wabongo wengi tu hapa Tanzania tuna maisha mazuri,Nyumba Kali,Magari makali na Wala Huwezi kuona tunajisifu,ila nyie Malimbukeni Sasa !
Acheni upuuzi wenu mafamba nyie!
Wewe ni mpumbavu huna akili wivu na roho mbaya zinakusumbua.Wewe ni Miongoni mwa hao Wapumbavu !
Any way;
Rudi Bongo kama unataka kuolewa nitakutafutia mwanaume na mahari pamoja na sherehe (Harusi ) nitaigharamia !
MAZA FAKA!
Kabisa ana chuki na kisirani huenda alikuwa anatafuta mume amekosaHeeheeheee mbona naona kama wewe ndio una ugonjwa wa afya ya akili + wivu.
Mkuu, punguza hasira.
Kuna mambo ni wanaita content tu, wala usiyaweke akilini.
Unaweza kuwa unachukia mtu unayetakiwa kumhurumia.
Wewe ni mpumbavu huna akili wivu na roho mbaya zinakusumbua.
Mbona wabongo kibao wanatoa michongo?? Kama roho Yako mbaya usifananishe na roho Yako malaya wewe.
Yes Maza faka add your mother
Heeheeheee mbona naona kama wewe ndio una ugonjwa wa afya ya akili + wivu.
Ety niache asset!! Watu tuna asset kibao tena unlimited na hatuna maneno ACHA masifa matako weweWewe kweli ni Kuku maji,ni hakika huna akili mzururaji wewe !
We MPUMBAVU Nini! ,aliyekwambia nahitaji mchongo Kwa wazururaji hao nani?
Yaani niache Assets zangu bongo niende nikawe mzururaji!
Come on bitch!
Ety niache asset!! Watu tuna asset kibao tena unlimited na hatuna maneno ACHA masifa matako wewe
Wale wanaojipost Youtube na FbWakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu!
Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka (Matusi & kejeli) Kwa Watanzania wenzao ambao hawajapata fursa ya kwenda huko waliko wao!
Mara kadhaa hao watu (Malimbukeni) wamekuwa wakiwatukana Watanzania wenzao wanaoishi Tanzania kana kwamba si lolote Wala si chochote!,yaani wao kwenda Ulaya & Canada ndiyo wanaona wameyapatia maisha kuliko Watanzania wengine tunaoishi hapa Tanzania! .Kwakuwa wengi wao ni washamba na wajinga wanadhani kuishi Ulaya & Canada wameyapatia maisha!
Tulitegemea Watanzania hao kwakuwa wameenda kwenye nchi ambazo zimestaarabika nao wastaaribike wasiwe Malimbukeni lakini badala yake ndiyo wamezidi Kuwa wajinga!
Kwenda Canada au nchi za Scandinavian kusikufanye ukaonekana mjanja na kuanza kuwatukana watanzania wanaoishi hapa Tanzania nyie malofa !
Mnalinga na Nini hasa nyie malofa?,Vijana wengi huko tunajua wamekuwa mashoga kwasababu ya kupenda dezo
Tanzania ni nchi yenye fursa za kila aina na utajiri upo nje nje!,ila nyie Malofa Kwa kupenda dezo mkaacha fursa za utajiri hapa nchini mkaona ni vema mwende mkahesabike kama wakimbizi huko nje !
Binafsi siwezi kwenda Ulaya kuanza kuhangaika na Mabox,mara oooh sijui udereva ,mara oooh sijui kufanya kazi mashambani ,mara oooh sijui kufanya kazi kwenye mago-down!
Wabongo wengi huko nje hamna kazi za maana hata kidogo na ndiyo maana hata huku Tanzania familia zenu zinaishi maisha ya Taabu kuliko maelezo!,Kazi kuzurura tu kama Vibaka na kufanya kazi ngumu huku mkiambulia pesa mdogo !,Leo nimeamua kuwachana wapuuzi nyie !
Unakuta jitu zima linapiga picha kwenye Barafu huku limekenua meno halafu linaanza kuwalingishia hizi Barafu wabongo wenzie,nani alikwambia wabongo wanataka uwalingishie Barafu mpuuzi wewe?
Ndiyo maana mnazidiwa na wakenya,Jamaa wakifika ughaibuni wanafanya Video za kuwaonyesha fursa wenzao Ili waone namna ya kwenda kutengeneza pesa lakini mitanzania baadhi ni mavichwa maji,yenyewe yakifika huko kazi ushamba tu na ulimbukeni wa kupiga picha na kuziweka Facebook au Whatsapp status Ili kila mtu ajue yupo nje kwenye Barafu !
Fanyeni maendeleo wapuuzi nyie ili tuone kweli mnazo pesa,siyo kujisifu umeshika Barafu halafu unajiona mjanja!
Mipuuzi mingine umezitelekeza familia zao hapa Tanzania Kwa lengo la kwenda kutafuta maisha mazuri lakini yakishafika huko hata simu hayapigii wake zao huku watoto wao wakipata shida na kuanza kuhangaika Kwa ndugu !,wapuuzi nyie !
Mwanamke anapolikumbusha wajibu wake linaamua kuzira na kumtamkia mkewe kwamba litaoa huko huko na huku halitorudi,kama unamfanyia hivi mkeo wewe ni Mjinga na limbukeni!,Acha ulofa tunza mkeo na watoto wako maana unawapa ndugu zako mzigo ambao si wao !
Wabongo wengi tu hapa Tanzania tuna maisha mazuri,Nyumba Kali,Magari makali na Wala Huwezi kuona tunajisifu,ila nyie Malimbukeni Sasa !
Acheni upuuzi wenu mafamba nyie!
Dharau kubwa sana.Kwa hiyo sisi tunaozeekea hapa Nyahua na Igalula Tabora wametuchanganya kundi la wachovu?Laana iwe juu yao!Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu!

Lakini hata wengine waliopo hapa nchini👇
View attachment 3313218
Dharau kubwa sana.Kwa hiyo sisi tunaozeekea haha Nyahua na Igalula Tabora wametuchanganya kundi la wachovu?Laana iwe juu yao!
Huyo kabla ya kuonja sato alikuwa amezoea kujichana vidagaa vyeusi vya kule kwao Nyololo.It was jus' a matter of fursa and video shootings.Lakini hata wengine waliopo hapa nchini👇
View attachment 3313218