Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

Duuh nahisi nimekosea njia kupita kwenye huu uzi maana naona watu wanatukanana tu non stop.. inasikitisha sanašŸ¤”
 
Hao jamaa ni wapuuzi sana mkuu!

Kulipwa Dola 80 au 100 Kwa wiki yanajiona Majanja wakati hiyo pesa kijana wa bodaboda anaipata ndani ya siku 2 au 3
Unajua Dola 100 ni sawa na shingapi?? Pumbavu kabisa ni bodaboda gani ndani ya siku mbili anaweza kuweka laki mbili??? Nimeendsha bodaboda miaka 3 naijui Vizuri iyo kazi hapo umesahau risk
 
Mbona Kuna wambongo kibao wanatoa michongo na deals nyingi tu hukoo Facebook Instagram na YouTube??
Sio wote Wana roho mbaya mkuu
Mwisho
Tanzania ni laaana kukaaa Tanzania ni laaana na wewe unalaana

Tatizo la ujinga ni kwamba wewe mwenyewe huwezi kujiona mjinga, utajiona mjanja.

Wewe umewai kwenda nchi gani?? Ina maana hujui fursa yoyote nje alafu unapinga usiyajua.

Issue ya kutelekeza familia ni personal issue hata TZ watu kibao wametelekeza familia zao.

ACHA wivu na roho mbaya
Maza faka.
Kwa huu uandishi naungana na mtoa mada... šŸ˜€

Between those lines kuna message nzito sana.. Samahani lakini.
 
Unajua Dola 100 ni sawa na shingapi?? Pumbavu kabisa ni bodaboda gani ndani ya siku mbili anaweza kuweka laki mbili??? Nimeendsha bodaboda miaka 3 naijui Vizuri iyo kazi hapo umesahau risk

Wewe endelea kutafuta bwana wa kizungu uolewe acha kutupigia kelele famba wewe!
 
Kuna kenge mmoja anakuambia tuache dini ili tufike mbali ..Liko nchi za watu kama jinga ,linashindwa kufanya maendeleo limebaki kupost nchi za watu . kwani nyie atheists anashindwa binafsi kufanya maendeleo hata ya kwenu mpaka msingizie watu wa dini.

Hilo jamaa ni kama lile chimakeke ,linakuambia dini za wazungu ila lipo kwenye nchi za watu kama paka shume ,limevaa vitu vya nje mwanzo mwisho ..Ukiwa na toto kama hilo ni jinga ,unakuta lina umri mkubwa ila bado linababaika magorofa na maisha ya kihuni ...Huku linaponda dini kumbe limezalisha watoto wa watu bila ya ndoa ila linajiona liko sawa wengine hawana akili
.
 
Unajua Dola 100 ni sawa na shingapi?? Pumbavu kabisa ni bodaboda gani ndani ya siku mbili anaweza kuweka laki mbili??? Nimeendsha bodaboda miaka 3 naijui Vizuri iyo kazi hapo umesahau risk
Ndiyo wewe bodaboda uliyehojiwa kuhusu kuhudhuria mahakamani kesi uchwara ya Lissu badala yake ukaanza kuzungumzia maandamano?Chicken šŸ” aka "Chicken water"!
 
Duuh nahisi nimekosea njia kupita kwenye huu uzi maana naona watu wanatukanana tu non stop.. inasikitisha sanašŸ¤”

Mkuu ni hii mipuuzi niliyoamua kuichana ukweli ndiyo imeamua kutoa Matusi!
 
Wewe ni Miongoni mwa hao Wapumbavu !

Any way;

Rudi Bongo kama unataka kuolewa nitakutafutia mwanaume na mahari pamoja na sherehe (Harusi ) nitaigharamia !

MAZA FAKA!
Inferiority complex at its peak. Unakasirika ukiwa wapi? Mwanarumango au Gezaulole? Kuishi nje SIYO kupatia maisha bali ni kuijua dunia. Kuzaliwa kwenye umaskini kumefanya wabongo tudhani fedha ndiyo kilele cha mafanikio. Kama hutaki kuishi nje ya nchi unaweza kutumia ukwasi wako kutembea eg kila mwaka unatembelea nchi nyingine. Nakuhakikishia ukifanya hivyo ma-frustration yote uliyo nayo kuhusu watu wanaoishi nje yataisha na utajua kuwa maisha ni popote.
 
Kuna kenge mmoja anakuambia tuache dini ili tufike mbali ..Liko nchi za watu kama jinga ,linashindwa kufanya maendeleo limebaki kupost nchi za watu . kwani nyie atheists anashindwa binafsi kufanya maendeleo hata ya kwenu mpaka msingizie watu wa dini.

Hilo jamaa ni kama lile chimakeke ,linakuambia dini za wazungu ila lipo kwenye nchi za watu kama paka shume ,limevaa vitu vya nje mwanzo mwisho ..Ukiwa na toto kama hilo ni jinga ,unakuta lina umri mkubwa ila bado linababaika magorofa na maisha ya kihuni ...Huku linaponda dini kumbe limezalisha watoto wa watu bila ya ndoa ila linajiona liko sawa wengine hawana akili
.

Yaani ni MPUMBAVU sana mkuu !

Kuna lingine nalifahamu tumekuwa nalo kitaa kimoja lakini eti baada ya kufika Canada huwa naona nalo linatoa ushauri wa kijinga eti Hakuna Mungu!

Kuna muda huwa najiuliza,hivi haya majitu baada ya kufika nchi za Ng'ambo huwa yanatolewa akili?
 
Inferiority complex at its peak. Unakasirika ukiwa wapi? Mwanarumango au Gezaulole? Kuishi nje SIYO kupatia maisha bali ni kuijua dunia. Kuzaliwa kwenye umaskini kumefanya wabongo tudhani fedha ndiyo kilele cha mafanikio. Kama hutaki kuishi nje ya nchi unaweza kutumia ukwasi wako kutembea eg kila mwaka unatembelea nchi nyingine. Nakuhakikishia ukifanya hivyo ma-frustration yote uliyo nayo kuhusu watu wanaoishi nje yataisha na utajua kuwa maisha ni popote.

Aliyekwambia Nina frustration nani!?

Umeilewa mada lakini? Au mumeo amekukurupua jikoni baada ya kuona mada imempalia?

Nimetembea nchi kadhaa hapa duniani na nyingine sidhani kama utakuja kufika famba wewe!

Kutoka tu kidogo kufika hapo Canada na Scandinavian countries mnadhani mnaelewa kila kitu mafamba nyie
 
Yaani ni MPUMBAVU sana mkuu !

Kuna lingine nalifahamu tumekuwa nalo kitaa kimoja lakini eti baada ya kufika Canada huwa naona nalo linatoa ushauri wa kijinga eti Hakuna Mungu!

Kuna muda huwa najiuliza,hivi haya majitu baada ya kufika nchi za Ng'ambo huwa yanatolewa akili?
Atheists wote wathenge ...Wanashindwa kufanya ubunifu wamebaki kulaumu vitu hazina uhusiano...Kama walishikwa mkono wasifajye Maendeleo..
 
Aliyekwambia Nina frustration nani!?

Umeilewa mada lakini? Au mumeo amekukurupua jikoni baada ya kuona mada imempalia?

Nimetembea nchi kadhaa hapa duniani na nyingine sidhani kama utakuja kufika famba wewe!

Kutoka tu kidogo kufika hapo Canada na Scandinavian countries mnadhani mnaelewa kila kitu mafamba nyie
You are just an idiot, a country bumpkin with severe inferiority complex!
 
Back
Top Bottom