Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

You are just a Bitch,Ass hole mother fucker !

Kama hata kutengeneza mstari mmoja tu wa Tusi-lilionyooka unavurunda hivi,
Kisha wewe huyohuyo unataka ushawishi watu kuwa umetoka nje ya Bongo,
Na Msomi, Kweli?
Labda kama ulikuwa unafungiwa Hostel ukifika huko Ng'ambo..

Zingatia;
Iwapo hujawahi kuambiwa ukweli ujue kuanzia Leo na uliweke akilini kuwa;
Alietoka na-kuweza kuishi Nje hata ikiwa South kwa muda kakupita pakubwa sana wewe
wa Bunju/Posta,Kimara/Kariakoo.
Unataka ndio hivyo hutaki ndio hivyo, usijifariji.

Kingine, una kinyongo na sononeko juu ya hao unawajua wapo Majuu.
Tafuta Hela yako Habari za wengine si kazi wala jukumu lako kuwa na wasiwasi nao.
 


Acha kutupigia kelele zumbukuku wewe!

Tahira kweli wewe,wewe na wajinga wenzio labda mtanizidi utahira na uzumbukuku tu!

Mnatokaga huko mmepauka mnajifanya that's, there's na nyokonyoko kibao lakini hadi viatu mnatuazima mafamba nyie!

Huko nje kwenye mmepanga tuchumba tudogo kama mko Selo halafu kila siku kuweka status mashauzi kibao !

Any way ;

Ukitaka mwanaume niambie nikutafutie mzee mwenzako!
 
Ungejibu kwa Hoja ingependez ujue.
Matusi, Mh wengine hatujalelewa vibaya.
 
aisee uzi wako ume jaa matusi Sana, sija jua ni frustration iliyo sababishwa na kitu gani!.

wacha watu waishi vile waonavyo ni sawa, halafu hata waki tukana wame taja mtu jina?

UStaarabu una Anza kwa ku mind your own business.
 
aisee uzi wako ume jaa matusi Sana, sija jua ni frustration iliyo sababishwa na kitu gani!.

wacha watu waishi vile waonavyo ni sawa, halafu hata waki tukana wame taja mtu jina?

UStaarabu una Anza kwa ku mind your own business.


Acha kutupigia kelele zumbukuku wewe!
 
HWewe ni Miongoni mwa hao Wapumbavu !

Any way;

Rudi Bongo kama unataka kuolewa nitakutafutia mwanaume na mahari pamoja na sherehe (Harusi ) nitaigharamia !


MAZA FAKA!
Sass mshua mtu mzima unaenda ulaya hata mda wa kuoumzika hepati kama haujajitoa akili hauli umehangaika tz kusoma mpk let say degree or master mara pa ulaya unakutana na culture shock unambiwa kuosha vikongwe mara ukimnizane na mabarafu kupost barua majumbani dah ili upate hata room ya sqm zinazoeleweka lazma ufanye kwa kujiua plus other rents lazimauwehuke
Na kujifariji mitandaoni ki kweli huwez kutoka kwa pesa ya kuonewa huruma
 
Uzi wa kiupuuzi huu umeletwa na mtu aliepigika na msongo wa mawazo 😀 😀 😀
 
Alafu wakirudi,walichorudi nacho ni kutembea wakidundadunda kama SNOOP DOGDOG!!!
 
Asubui hii nilikuwa napitia mtandao wa OPERA,kuna mzee mmoja huko NIGERIA alikaa CANADA miaka 45 akifundisha,lakini unaambiwa amerudi akuwa na miaka 80,hajajenga nyumba yaani unaambiwa ana hali mbaya kuliko waokota makopo au masela wa dampo!!!!,,,,,,,,,,,alioa huko CANADA lakini mke wake alifariki bila kuzaa mtoto......pia najamaa yangu nilikuwa nasoma na chuo {siwezi kumtja jina humu] jamaa akaenda UK,,,,,,akanitafuta ili ajue atatoaje vitu vya vichache alivonunua huko ,yaani TV,GARI,na furichicher,,lakini alishukia kwenye geto la girl friend wake aliyekuwa anafanya kazi shirika la post,,,basi akomba anitembee,home,,alipofika kwa nikaona ameshikwa na ubari,hakuamini kwamba mimi ambae nisafiri sana labda niede KENYA,UGANDA na CONGO kwa issue zangu za kusafirisha mizigo na kufuata vitu ambavo huku hamna ili nipate pesa,,,,,da !! wakati 2naondoka,nikimrudisha kwake kwa gari yangu,ndo jamaa akafunguka huku machozi yakimtoka,,"dar mshikaji,nimepoeza muda wangu bure ulaya sinanyumba na ata vitu vichache ninavotaka kuvitoa bandarini sijui nitalipaje" any way,kimsingi alikaa kwa demu kama miezi 7,,demu akagundua jamaa ni mzigo akampiga chini,,,sasa jamaa kachoka kama KOMBA aliyelewa mnazi
 
aisee uzi wako ume jaa matusi Sana, sija jua ni frustration iliyo sababishwa na kitu gani!.

wacha watu waishi vile waonavyo ni sawa, halafu hata waki tukana wame taja mtu jina?

UStaarabu una Anza kwa ku mind your own business.
naona profile yako,"shikamoo mdhungu mswahili"
 


Hawana chochote wanachofanya huko mko,Mfumo wa maisha Kwa nchi za wenzetu unaifaidisha nchi husika lakini si watu!,ndo mwisho wa siku wanakuja kushituka Umri umeenda na hawana chochote!

Ulaya Ili ununue Nyumba ni lazima uwe na kiasi kuanzia milioni 200 kitu ambacho ukiwa na hiyo hela hapa Bongo unajenga Nyumba nzuri,unanunua gari nzuri na maisha yako yanaenda vizuri tu!

Tanzania fursa za Kuwa tajiri ni nyingi mno kwasababu pia hakuna Kodi kubwa kama huko Ulaya na nchi za Marekani!

Tunapojaribu kuwashauri wanatuona wajinga!

Kuna Mjinga mmoja yeye alipokuja akakuta naendesha BMW 3 mpya akabaki anashangaa tu !
 
Ni wagonjwa kweli 🤣🤣🤣🤣
 
kweli man!!
 
Heeheeheee mbona naona kama wewe ndio una ugonjwa wa afya ya akili + wivu.
hapana wale wanaojiona wajanja kuwa ughaibuni na kuwaona wajinga walio hapa ndo wana ugonjwa wa akili...fikiria kule umeenda wewe tu umeacha baba,mama wajomba na watu wengi w a maana kwako hapa kwahiyo nao ni mafala?

DO NOT THROW A STONE IN THE MARKET PLACE DUDE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…