Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

Nisahihi kuifanyia gari tunning ya mafuta?? nimeshauliwa hvyo baada ya gari kuwasha taa ya check engine kila baada ya cku kadhaa,tatizo liligundulika kuwa ni mafuta niliyokuwa nimewek

Kafanye kwanza diagnosis kwenye computer kama gari yako ina obd2. Ukipata mtu ambaye scan tool yake ina live data itakuwa poa zaidi sababu kuna data zinahitajika mfano Short term na Long term fuel trim.

Kufanya tuning siyo vibaya ila kama mtu siyo mtaalamu anaweza akakuharibia gari yako.
 
Nisahihi kuifanyia gari tunning ya mafuta?? nimeshauliwa hvyo baada ya gari kuwasha taa ya check engine kila baada ya cku kadhaa,tatizo liligundulika kuwa ni mafuta niliyokuwa nimewek

Kafanye kwanza diagnosis kwenye computer kama gari yako ina obd2. Ukipata mtu ambaye scan tool yake ina live data itakuwa poa zaidi sababu kuna data zinahitajika mfano Short term na Long term fuel trim.

Kufanya tuning siyo vibaya ila kama mtu siyo mtaalamu anaweza akakuharibia gari yako sababu wengi huwa wanaflash ECU yako kama unavoflash simu tu.
 
Hapa kwenye tuning hebu nipe nondo kidgo nini kinafanyika hasa?
 
Hapa kwenye tuning hebu nipe nondo kidgo nini kinafanyika hasa?

Hapo huwa zinafanyika changes katika baadhi ya parameters kwenye ECU ya ngine yako. Hizo parameters unaweza kubadili kama utahitaji good fuel economy, performance, spark advance, removing speed limiter, increasing engine torque n.k.

Yaani unabadili performance ya gari yako kwa kucheza tu na software kwenye ECU yako tu bila kuadd chochote kwenye gari yako.
 
Mwamba unajua...Shukrani nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…