JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #21
Nisahihi kuifanyia gari tunning ya mafuta?? nimeshauliwa hvyo baada ya gari kuwasha taa ya check engine kila baada ya cku kadhaa,tatizo liligundulika kuwa ni mafuta niliyokuwa nimewek
Kafanye kwanza diagnosis kwenye computer kama gari yako ina obd2. Ukipata mtu ambaye scan tool yake ina live data itakuwa poa zaidi sababu kuna data zinahitajika mfano Short term na Long term fuel trim.
Kufanya tuning siyo vibaya ila kama mtu siyo mtaalamu anaweza akakuharibia gari yako.