Hakutafuti wewe bali K yako! Huyo ndiye Smart911š¤£Unanitafuta jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakutafuti wewe bali K yako! Huyo ndiye Smart911š¤£Unanitafuta jirani
Sina tabia mieMleta mada tabia ya hiki kiumbe tafadhali...
š
š¤£š¤£š¤£š¤£
Hahaah pamoja sana mkuu, wacha na wengine tuwajueJamii forums ni platform niliyotokea kuipenda sana toka nijiunge nayo mnamo mwaka jana,
Platform hii nimetokea kuwa addicted nayo kabisa kiasi kwamba haiwezi kupita siku bila kutupia jicho
Tokea nijiunge kwenye hii platform nimekuwa nikijifunza kutoka kwenu viongozi, nikiburudika na pia nikijengeka katika nyanja tofauti tofauti
Vile watu wakigombana na kupatana huwa nafurahi sana,
Pia nafurahishwa na baadhi ya members wa humu na tabia zao; baadhi ya wakali hao ni kama wafuatao
Smart911 hajawahi mtukana mtu wala kumdhihaki mtu na always anatakia watu mema, reply zake hazizid mistari miwili
Bujibuji Simba Nyamaume mkongwe wa jamii forums, always huwa anatupa darasa vijana na kuhamasisha watu kwenye mambo mbalimbali
Mshana Jr huyu jamaa ana influence kubwa jf, kiasi kwamba akitoa uzi lazima nikaucheki na si kwangu tu bali kwa maelfu ya wana jf
mpwayungu village huyu jamaa anaongoza kwa maadui jf, yaani mwamba angekuwa live nahisi angedundwa hata ngumi, ila jamaa hajali ana keep moving
GENTAMYCINE aka popoma, jamaa anapenda sana sifa, kila kukicha anatengeneza ID mpya, halafu anaanzisha hoja huku anajibu mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
martial jb huyu jamaa huwaga namfuatilia sana, kwanza anakuwaga na hoja strong na pia hachagui jukwaa popote utamkuta yaani kiraka
DeepPond huyu jamaa ni story teller, anajua kweli kupangilia matukio ya simulizi in short hamchoshi msikilizaji
Tate Mkuu yaani yeye hata kama ukiiongelea yanga kwa kheri yeye lazima atakubadilikia tu, akili yake imejaa unjano na utopolo
Lizzy humwambii kitu kuhusu jukwaa la vyakula na jf snaps
HS CODE huyu jamaa utamkuta jukwaa la ajira tu, sijui hajaajiriwa!? anapenda uzi wa utumishi kuchelewa kuitwa kwenye saili
NtYga huyu mwamba utamkuta uzi wa Manchester United tu! Tena comments ni za kiingereza
National Anthem huyu mwamba huwa hatengenezi uzi, ila huwa ana comment tu, kwenye ujinga ana comment ujinga kwenye usiriaz anakuwa siriaz
Erythrocyte huyu jamaa humwambii kitu kuhusu chadema, nahisi ni lissu huyu ana comment kwenye jukwaa la siasa tu
CONTROLA mwamba yupo makini sana
Extrovert mwamba yupo humble sana na anaonekana ni fighter..
Kalpana mwanamama wa simba, yaani ukiona simba imeongelewa ujue lazima atie mguu..
Naomba wengine muendelee kuwaorodhesha na tabia zao, maana orodha ni si ya kitoto...
pamoja sana kiongozi ila hapo kwa popoma GENTAMYCINE jiandae kupopomaliwa