A
Anonymous
Guest
Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama au kukaa maeneo hayo kuanzia Saa 12 Jioni.
Wanafanya hivyo karibu na maeneo ya Mbagala Zakiem kisha wanakupeleka Ofisi ya Kata na kukuambia ili uachiwe faini ni Shilingi 50,000 huku ukiwa hujui kosa lako, ukiwa huna pesa basi unapelekwa Kituo cha Polisi kilicho Mbagala Rangi Tatu karibu na round about barabara ya chamazi.
Hii ni kero na huenda Mkuu wa Polisi anajua maana zinatumika gari za polisi (difenda kuwabeba hao watu).