Baadhi ya watu wanaorudi upande wa Nchimbi wananikumbusha mfano wa ajabu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.

Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na kujificha nyuma yake. Kisha unamwambia yule aliyekuwa anakupiga

"mguse na huyu sasa tuone, kama wewe kidume mpige na huyu pia!"

Je yule anayevuta sigara amegeuka kuwa mwema ghafla, au ni kwa sababu tu hajawa ndiye anayekupiga kwa wakati huo?Wakati mwingine kwenye siasa watu husahau historia kwa sababu ya hasira zao kwa anayewaumiza sasa. Wanajikuta wanamfanya shujaa mtu ambaye jana walikuwa wanamlalamikia, si kwa sababu amebadilika, bali kwa sababu tu amesimama pembeni wakati huu.
 
Siku zote Vita ya Panzi ni furaha ya kunguru.
 
Kwenye maumivu ukipata wa kukuambia pole hata kama yupo kundi moja na waliokuumiza utamwona mwenye huruma na utu. Watu wapo kwenye maumivu makali, wanatafuta faraja popote bila kujali madhara yake.
 
Usinidanganye kwamba CCM hakunapasuko. Ipo na Nchimbi na Samia haziivi.
Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.

Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na kujificha nyuma yake. Kisha unamwambia yule aliyekuwa anakupiga

"mguse na huyu sasa tuone, kama wewe kidume mpige na huyu pia!"

Je yule anayevuta sigara amegeuka kuwa mwema ghafla, au ni kwa sababu tu hajawa ndiye anayekupiga kwa wakati huo?Wakati mwingine kwenye siasa watu husahau historia kwa sababu ya hasira zao kwa anayewaumiza sasa. Wanajikuta wanamfanya shujaa mtu ambaye jana walikuwa wanamlalamikia, si kwa sababu amebadilika, bali kwa sababu tu amesimama pembeni wakati huu.
 
Nchimbi siyo muslim, hilo pekee linatosha kwangu kwani hawezi kuruhusu islamic sharia in tanzagiza, Christians have stake in the country vs muslims ni internationalists na hawatambui taifa na utaifa, wanaigawa nchi yetu kwa foreigners …
 
Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.

Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na kujificha nyuma yake. Kisha unamwambia yule aliyekuwa anakupiga

"mguse na huyu sasa tuone, kama wewe kidume mpige na huyu pia!"

Je yule anayevuta sigara amegeuka kuwa mwema ghafla, au ni kwa sababu tu hajawa ndiye anayekupiga kwa wakati huo?Wakati mwingine kwenye siasa watu husahau historia kwa sababu ya hasira zao kwa anayewaumiza sasa. Wanajikuta wanamfanya shujaa mtu ambaye jana walikuwa wanamlalamikia, si kwa sababu amebadilika, bali kwa sababu tu amesimama pembeni wakati huu.
Mtu anayewaamini CCM namuonaga hana tofauti na pedi
 
Back
Top Bottom