ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Siku zote Vita ya Panzi ni furaha ya kunguru.Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.
Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na kujificha nyuma yake. Kisha unamwambia yule aliyekuwa anakupiga
"mguse na huyu sasa tuone, kama wewe kidume mpige na huyu pia!"
Je yule anayevuta sigara amegeuka kuwa mwema ghafla, au ni kwa sababu tu hajawa ndiye anayekupiga kwa wakati huo?Wakati mwingine kwenye siasa watu husahau historia kwa sababu ya hasira zao kwa anayewaumiza sasa. Wanajikuta wanamfanya shujaa mtu ambaye jana walikuwa wanamlalamikia, si kwa sababu amebadilika, bali kwa sababu tu amesimama pembeni wakati huu.
Huwa nasema humu kila siku,Bora hata mtanzania aliyechanganya damu ,lkn nyie watanzania halisi hakuna kituWatanzania asilimia 99.9 ni ndezi
CCM wote lao moja hakuna mwema hata mmoja lkn kwasabab ss ni bendera fata upepo na udini ndani yake hayalazma yatokee tu
Inashangaza sana
Fikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.
Baada ya kichapo badala ya kukimbia wote wawili au kupambana nao wote, unaamua kumkimbilia yule anayevuta sigara na kujificha nyuma yake. Kisha unamwambia yule aliyekuwa anakupiga
"mguse na huyu sasa tuone, kama wewe kidume mpige na huyu pia!"
Je yule anayevuta sigara amegeuka kuwa mwema ghafla, au ni kwa sababu tu hajawa ndiye anayekupiga kwa wakati huo?Wakati mwingine kwenye siasa watu husahau historia kwa sababu ya hasira zao kwa anayewaumiza sasa. Wanajikuta wanamfanya shujaa mtu ambaye jana walikuwa wanamlalamikia, si kwa sababu amebadilika, bali kwa sababu tu amesimama pembeni wakati huu.
Mtu anayewaamini CCM namuonaga hana tofauti na pediFikiria umekamatwa na majambazi wawili. Jambazi mmoja anakupiga makofi na mateke kila dakika, mwingine yupo pembeni anavuta sigara tu, hashiriki kukupiga wala kukusaidia.