Baadhi ya watu wanapenda uongo au kudanganywa

Baadhi ya watu wanapenda uongo au kudanganywa

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
611
Reaction score
993
Watu wanapenda kusikia/kutazama/kuamini UONGO.
1)Mtu yupo radhi atumie muda wake mwingi kutazama tamthilia,sinema,series ,movies
Ili hali anajua kabisa ni maigizo ni uongo sio ukweli.

2)Watu wapo radhi kujihusisha na mahusiano ya kimahusiano na wenza ambao wanawaongopea na wanajua kuwa wanadanganywa.

3)Watu wapo radhi kwenda kwa waganga wa kienyeji na kuwapa fedha,zawadi,sadaka mbalimbali

4)Watu wapo radhi kwenda kwa mitume,na manabii wakanunua na vity vya upako kam mafuta,maji,keki,mchanga,n.k

5)Watu wapo radhi kucheza michezo ya kubahatisha ,mfano kurusha kindege aviator n.k

6)Watu wapo radhi kuamini maneno ya wanasiasa

7)mtu yupo radhi kucheza gemu play stations mfano gemu ya kuendesha gari,gemu ,ya vita
 
Back
Top Bottom