Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya Whatsapp Ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana


Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata

Swali je hapo ulipo vip?
 
Kuna uhakiki mwingine sisi tumemaliza wk iliyopita wa nida labda wao hawaja maliza uhakiki make kwa hesabu ya haraka mm wengine tumehakikiwa zaidi ya mara 15 wavumilie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…