Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Kauli ya braza "mtalimia meno",mliielewa lakini? Mi nadhani aliyepata mwezi huu ajiandae kukosa mwezi ujao..
Cha msingi ni kuungana ili mdai haki yenu. Mkitegemea vyama vya wafanyakazi,braza anatembea nao mfukoni viongozi wa hivyo vyama.
 
Nitatizo tu la system waliyo tumia mwezu huu mishahara imetoka asubuhi wapo walio pata hiyo asubuhi yacsaa tatu hivi. lakini wengine salio limesoma mchana wengine jioni.
Hivyo wawe na subira tu.

Hans Pol
 
hadi sasa salio langu halitoshelezi duuuh mshahara hakunaaa

Kila dakika nachungulia akaunti lakini hakuna kitu tusikate tamaa maybe tomorrow

great thinker
Msikate tamaa ndugu ni system tu walio tumia.
Chamgamoto kama hii ilishawahi jitokeza wakati wanaanza kulipa mishahara moja kwa moja kutoka hazina.

Hans Pol
 
Back
Top Bottom